Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

Mbona sisi Wamwera hii ni desturi yetu toka enzi na enzi sema tu hatuji proud maana hatuoni sababu ya kufanya hivyo.
 
Mkuu,
Jamii iliyo na maendeleo lazima wakumbuke nyumbani kwao ila jamii za kimaskini nikurogana na ushirikina dats why Kuna jamii hazipendi kwenda ma kwao....

Chagga's ni Moja ya highly & mosted civilized tribes in Tanzania
Sisi tuna tunadamu ya kiyahudi kwetu ni canan ...ukiona mtu haendi kwao jua hata pakulala ni shida
 
Unajuwa nauli ya Dar Bukoba, Dar Mwanza, Dar Kigoma?
Miaka kumi umejificha tu Dar hata kwenda kwenu hutaki kisa nauli? Achaeni utani kwenye masuala sirias bwana! Ila kwenye mbunye hata ukiambiwa uifuate Katavi nauli itapatikana! 😀 😀 😀

Hata kama hamtakwenda kila mwaka lakini mnaweza kujiwekea interval hata ya miaka miwili miwili. LABDA KAMA UNAOGOPA KUROGWA HUKO KWENU MAANA HICHO NACHO NI KIPENGELE KWA MIKOA MINGINE.
 
Ukiona hivyo ujue asilimia kubwa ya wazee wa kichaga walikuwa town au sehemu mbalimbali hapa Tz na kwingineko wameshaumaliza mwendo. Waliobaki ni watoto wao ambao hawakuzaliwa huko uchagani hivyo hawana connection ya moja kwa moja ha huko. Hiyo inaweza kuwa mojawapo ya sababu zenye mashiko za idadi ya wachaga wanaorudi kwao mwezi December kupungua!
 
Kionjo
Your browser is not able to display this video.
 
Linachangia wizi, kila mchaga anashindana kuiba ili arudi kwao aoneshe ana hela, yaani hata kuroga kwa ajili ya vyeo serikalini wanaongoza ilia wapate vyeo waibe na ukiwazibia kuiba wanakuua kwa sababu wanataka hela za show off uchagani. Kwa ufupi mashindano yao yanaitia hasara serikali rip Mafuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…