Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

Shauri yako asilimia 60 ni wanaume hao wanatumia majina na account za kike

Kule twitter tunawaita ma parody we ngoja ipo siku wataamka asubuhi chini wanajikuta wameota papuchi

Halafu paap siku hiyo hiyo wanaingia bleed [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35]
 
Naomba bando[emoji23]

Inaonekana wamekukulia sana[emoji2440][emoji2440]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa!
Yaani kuchat anataka kwa bando aliloweka nani sijui?
Jamani, hata kuchat na mtu hadi liwekwe bando kwanza. Hahaha dunia imekuwa uwanja wa fujo, sasa kama mtu hana hata bando la mawasiliano si shida kweli hiyo.
 
Back
Top Bottom