Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Wanapenda vya bure.Nashangaa!
Yaani kuchat anataka kwa bando aliloweka nani sijui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapenda vya bure.Nashangaa!
Yaani kuchat anataka kwa bando aliloweka nani sijui?
Unacheka wakati mnakera, kuna moja limetaka nitapeli eti nilitumia Laki, nikalipanga hadi mwisho wa mwezi limenisusia kabisa....... Sasa najiuliza kama huwa lazima kutoa hizo hela
50000 vocha, nimelogwa? Mi vocha mtu akiomba namuunga ya jero i amtosha, akiwa na shida nitampigiaSasa kama ndio vocha yake?
Lunch siwezi mtumia mtu hela, nitamwambia ajiongeze akapike ugaliwengine wanajifanya wanaomba uwatumie hela ya kula lunch kumbe ndio gia ya kuibiwa
Wewe noma.Lunch siwezi mtumia mtu hela, nitamwambia ajiongeze akapike ugali
Kama pesa haina shida kumtumia,kama hauna[emoji2440]Unacheka wakati mnakera, kuna moja limetaka nitapeli eti nilitumia Laki, nikalipanga hadi mwisho wa mwezi limenisusia kabisa....... Sasa najiuliza kama huwa lazima kutoa hizo hela
Buku 1
Picha iko wapiWanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.
Picha zao zimekuwa zikivutia kweli kweli na ukiziona tu lazima kama wewe ni mwanaume lijari lazima udenda ukutoke, sasa katika utafiti huo baadhi ya mabinti ukimtongoza tu hata kama umemwambia unataka mzigo kwa dau mlilo kubaliana lakini bado atahitaji umtumie bando ili muendelee kuchat hata kama mmefikia makubaliano ya kupeana huduma. Na hili suala la kuomba bando nimelikuta kwa Wa Dada karibia wote, na mwingine ukikaidi kumtumia utaambulia block ya hatari.
Swali langu kwenu wanajamvi ni kutaka kufahamu je kuna jambo gani limejificha au wanamaanisha nini katika kuomba bando na wakati wameshafikia makubaliano na mtu.
Naomba maoni yenu wanajamvi.
Wewe una moyo, mimi mdada arogwe tu kuniomba vocha au sijuwi nimrushie hela....namkatia line na kumblock hapo hapo.Wanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.
Picha zao zimekuwa zikivutia kweli kweli na ukiziona tu lazima kama wewe ni mwanaume lijari lazima udenda ukutoke, sasa katika utafiti huo baadhi ya mabinti ukimtongoza tu hata kama umemwambia unataka mzigo kwa dau mlilo kubaliana lakini bado atahitaji umtumie bando ili muendelee kuchat hata kama mmefikia makubaliano ya kupeana huduma. Na hili suala la kuomba bando nimelikuta kwa Wa Dada karibia wote, na mwingine ukikaidi kumtumia utaambulia block ya hatari.
Swali langu kwenu wanajamvi ni kutaka kufahamu je kuna jambo gani limejificha au wanamaanisha nini katika kuomba bando na wakati wameshafikia makubaliano na mtu.
Naomba maoni yenu wanajamvi.
Mwanamke hupenda kupewa na siyo kutoa,necha hii imewaathiri,pia kwakuwa umekubali basi wanahakikisha unachunwa.Wanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.
Picha zao zimekuwa zikivutia kweli kweli na ukiziona tu lazima kama wewe ni mwanaume lijari lazima udenda ukutoke, sasa katika utafiti huo baadhi ya mabinti ukimtongoza tu hata kama umemwambia unataka mzigo kwa dau mlilo kubaliana lakini bado atahitaji umtumie bando ili muendelee kuchat hata kama mmefikia makubaliano ya kupeana huduma. Na hili suala la kuomba bando nimelikuta kwa Wa Dada karibia wote, na mwingine ukikaidi kumtumia utaambulia block ya hatari.
Swali langu kwenu wanajamvi ni kutaka kufahamu je kuna jambo gani limejificha au wanamaanisha nini katika kuomba bando na wakati wameshafikia makubaliano na mtu.
Naomba maoni yenu wanajamvi.
Right [emoji106]Wengine sio wadada ni wanaume wapenda vitonga... kuwa makini
Hii wanawatumia wanaume wengi afu Wana convert bundle kuwa hela ya kwenda hotel na kiji- selfisha tena.