Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

Ni Sawa Tu na nyie si mnaomba mbususu ni 1-1
 
Poleni sana, msiendeke kwenye hizo group au hizo social networks...
 
Kuna jinga moja likasema nilitumie pesa eti lijiunge bundle linaisha, eti 50,000.... Na kweli likanitumia namba

Sly queens wengi ni vichwa maji
Sasa kama ndio vocha yake?
 
Kwani ukimpa bundle la 5,000 unapungukiwa nini ?
 
sasa umesema 50% au 60% ni wauzaji bas hapo watakuwa wanaomba uwa-support kwenye biashara zao kumbuka ilo bando ndio analitumia kijitangaza ili awapate.
Ni heri akate hela ya bando kwenye huduma atakayonipa sawa na VAT au TOZO wanavyofanya yaani kama akinichaji 25,000 basi hela yake ya bando ni 5,000
 
Kuna jinga moja likasema nilitumie pesa eti lijiunge bundle linaisha, eti 50,000.... Na kweli likanitumia namba

Sly queens wengi ni vichwa maji
wengine wanajifanya wanaomba uwatumie hela ya kula lunch kumbe ndio gia ya kuibiwa
 
Ni heri akate hela ya bando kwenye huduma atakayonipa sawa na VAT au TOZO wanavyofanya yaani kama akinichaji 25,000 basi hela yake ya bando ni 5,000
Hio ni sawa na ile gharama inayotozwa ya kumuona specialist kwenye baadhi ya mahospital, unaweza muona na bado tatizo lako lisipone.
Kwaiyo hio ya bando ni kwaajiri ya kumuona tu bado ya matibabu sasa
 
Aaaaaaaaa.....mwengine huyu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…