Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

Unacheka wakati mnakera, kuna moja limetaka nitapeli eti nilitumia Laki, nikalipanga hadi mwisho wa mwezi limenisusia kabisa....... Sasa najiuliza kama huwa lazima kutoa hizo hela
Kama pesa haina shida kumtumia,kama hauna[emoji2440]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha iko wapi
 
Wewe una moyo, mimi mdada arogwe tu kuniomba vocha au sijuwi nimrushie hela....namkatia line na kumblock hapo hapo.
 
Mwanamke hupenda kupewa na siyo kutoa,necha hii imewaathiri,pia kwakuwa umekubali basi wanahakikisha unachunwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…