Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

Inashangaza kwa kweli ila hata wewe hauna tofauti nao maana wote mnafuatilia mambo yasiyowahusu.....

USHAURI WA BURE
Fuata yaliyokupeleka maana hata wao hushangaa jinsi arusha ilivyojaa mateja NA wanaume wanaovizia wanawake wa kizungu ili watoboe kimaisha
 

Inaonekana unafanana NA swali uliloulizwa..inakuaje mtu akuulize swali LA kishost kama sio shost yake.....
 
Haaa halafu magazeti yao pendwa ni Ijumaa wekenda, au Kiu, ni vigumu sana kukuta mwanaume anasoma Gazeti kama Daily News halafu umkute anadiscus ujinga
 
Humu ndani full burudani,nimecheka sana!

Wanaume wanatetea uanaume wao kwa maneno balaa! Wanaume wa Dar kipindi kile cha panya road na sasa hili.

Unawatetea 'wanaume wa Dar' who appointed you to be the guardian or spokesperson wao?

If you are a real man, you don't have to fight with a person who SAYS you are not. However, pay attention to the person who tries to SHOW you that you are not a man by SHOWING the world how man you are!
 
Hahahahaha,mleta mada kapiga za mbavu.

-Ndio jiji lenye vijana wnaoongoza kununua magazeti ya udaku
-Ndio jiji lenye wavimba macho weeengi wakiamka asubuhi kwa kukesha wanachati kama popooo
Mikoa yote walielewa agizo la pool table,ila wao tu ndio wabishi.
Madada wajasiriamali kibao wanatusua vwanaume wao Siasa tu,na utasikia ali kiba na Diamond nani tajiri ebbbbbbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…