Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKuu na wewe ni MWANAUME WA DAR???Duh wanaume wa dar tuna tabu, haya tutajirekebisha
Hahahaha Kisu kilikuingia.??? Polefala ww endelea kukaa kijenge huko ungefia jela unaleta siasa za siasa!
ndio, nipo tanzania mkuu kuna tatizoMKuu na wewe ni MWANAUME WA DAR???
Hakuna tatizo mkuu!!!ndio, nipo tanzania mkuu kuna tatizo
wanaume wa dar wote ni mabebez mkuu au ulikua hujui, ndio maana unasikia uzee mwisho chalinze dar wote ni bebez.
wanaume wanashinda muda wote baba shop wqkitengeneza nywele na kusuguliwa kucha na wamasai unategemea wazungumze nini.
kuna mwingine jana aliniudhi,katoka likizo juzi anafika jana ofisini ananiuliza hivi kweli wema sepetu hana mimba, nilitamani kumtwanga kichwa.
teh..teh...ndio maana mgogo le mutuz anatamba Dar?Hata mabega yao, midomo yao, na macho yao na matumbo yao wanatia huruma
wamekusikia na wamekuelewa
Aiseee jirekebisheDuh wanaume wa dar tuna tabu, haya tutajirekebisha
Lakini mkuu sijaona sababu ya kumtukana mtoa mada.. we unaona kweli ni sahihi jinsia ya kiume kuwa discuss hao the so called ma celebrity wa kibongo hasa kina dada?ww ndo unawadiscuss mngese ww unasingizia wanaume wa dar,angalia dar utafirika!