Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

Kutukana matusi ni jinai, mwambie atashtakiwa na Jamhuri huyo mpenzi wako 😜

Ila naona mambo yanabadirika sana, sisi Mwaka 47 Bibi zenu walikuwa wanapiga vigelele badala ya kutukana, ukisikia hivyo vigelele baada ya mechi na ile furaha anayokuwa nayo

Basi ataenda kukamata Jogoo Mkubwa, na kukuandalia supu ili kurudisha nguvu
Hao jogoo utakula wangapi au mlikuwa mnakulana mara mbili kwa mwaka. Sisi leo ni mara 3 kwa siku
 
Hili jambo Huwa linanishangaza
Sijui Huwa ni pepo au vipi

Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa

Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani

Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya hatari na alivyo ukimtazama na anayotamka faragha haviendani sijui tatizo nini

Si ruhusa kutoa mifano ya matusi hapa JF kutokana na kanuni zao ila ningeandika mengi

Tatizo Huwa ni nini hasa?
Kakutukania mama yako..?
 
Mnyonyesho mbolo labda atatulia.
 
Hao jogoo utakula wangapi au mlikuwa mnakulana mara mbili kwa mwaka. Sisi leo ni mara 3 kwa siku
Hahaha.................Mkuu mbona umeamua kuniuliza swali ambalo sikulitegemea

Nyie ndiyo enzi zile za Shuleni Mwalimu alikuwa hataki kukuruhusu kuuliza maswali 😜

Kuku sio Kila Siku, ilikuwa walau mara mbili Kwa Mwezi, hoja yangu ilikuwa kuonesha vile tulikuwa tunapewa kifuta Jasho baada ya kazi kubwa

Sio nyie mnapambana lakini bado mnaombwa kifuta Jasho na Ke wenu
 
Back
Top Bottom