So sadKitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kutanzania, Inanikwaza mnoo ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana.
Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya wanamuziki, mitindo ya kucheza mwisho wa siku itamuaribia heshima kwa watu wa ugenini, Na sio vizuri mtoto kujifunza Umalando mapema. Mnapocheka na kufurahi mnawapa kichwa watahitaji jaribu more, Naomba mzingatie hilo ndugu zangu.
Tuwakuze watoto wetu katika hekima na Maadili ya Kitanzania na sio kisanii wala ya kuiga
pia wanaopitisha hizo nyimbo ni wajingaKitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kutanzania, Inanikwaza mnoo ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana.
Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya wanamuziki, mitindo ya kucheza mwisho wa siku itamuaribia heshima kwa watu wa ugenini, Na sio vizuri mtoto kujifunza Umalando mapema. Mnapocheka na kufurahi mnawapa kichwa watahitaji jaribu more, Naomba mzingatie hilo ndugu zangu.
Tuwakuze watoto wetu katika hekima na Maadili ya Kitanzania na sio kisanii wala ya kuiga
Watoto haw ndio taifa la kesho, wanapasw kuwa katika maadili, enzi zetu hatukuwa tunakatiri nyimbo namna hiyo, na hata hivyo nyimbo hazikuwa zina lugha ya matusiKwamba wanasema sasa hivi ni generation yao ya kuwa Katia mabuno honey zao.
We kuwa kabinyau hachana na mbanga zao zitakuumiza kichwa
πππsasa huyu muulize 2 + 2 ni ngapi? mtavyopoteana.
Je tunapaswa fanya nini Kama wazazi kutokomeza tabia hii?Kuna huo wa zuu honey na kuna mwingine sijui wa msanii gani yule wakiume anakuwa na chupa ya mafuta na kuna mtu wa jinsia yake anamsukumia kwa kitanda akiashiria kumtenda jambo fulani lisilo la kiutu! KWAKWELI INA KERA MNOO ! UDHIBITI WA MINYIMBO NYIMBO NA MIVIDEO YAO YA HOVYO HAUPO KABISAAA!
Ina maana wahusika mnao simamia mambo hayo hamjui kuwa watoto huanza kuharibika kisaikolojia wakiwa na umri mdogo sana?
Hatukatai watoto kuimba but at least mashairi yenye utu na maadili mazuriπππsasa huyu muulize 2 + 2 ni ngapi? mtavyopoteana.
lakini mtoamada nawew nikuswalike kdogo, sasa tutatoa wapi wasanii km watoto hawataruhusiwa kuonesha vipaji vyao?
Ni kweli mdau, inabidi tujifunze kuwalewa watoto zetu katika maadili na kuwafundisha vile ambavyo desturi zetu zinapasa kufanyaHakuna maadili Tena,muhimu lelea watoto wako katika maadili ili baadae wasije wakakusumbua nyumbani Kila mara hawawezi kukaa Kwa mume,wanazaa hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app