cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roman Misa ni lisaa mpka nusu au mawili haizidi hapo!! Labda kuwe n ugeni lkn masaa manne aseeh paroko atajikuta mwenyw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roman Misa ni lisaa mpka nusu au mawili haizidi hapo!! Labda kuwe n ugeni lkn masaa manne aseeh paroko atajikuta mwenyw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe mpumbavuu umenikumbusha story fulani!
Kuna jamaa angu mmoja ni Mtumishi, aliitwa kwenye ushirika fulani mkoa fulani kufanya semina ya wiki nzima!
Sasa alifika hapo kwenye ushirika saa 5 kama 6 usiku maana safari ilikuwa ndefu kutokea Dar!
Sasa pale ushirikani hiyo siku palikuwa na mkesha! Akaona ngoja niende nikahudhurie mkesha kidogo afu ndo nikampuzike!
Katika ya mkesha maana alikuwa amekaa huku kwenye washirika! Akawa anasinzia Ile anasinzia anashutka!
Kumbe ilikuwa ni katika ya maombi! Kile kikosi kazi sijui kilitokea wapi kikambeba wakihisi jamaa ana mapepo [emoji23]
Si akaanza kugoma anasema "Niachieniiiii Sina mapepooo"
Wazee wakasema umeona mapepo yanaameanza ubishi na ndo wakazidi kumbeba vizuri [emoji23]
Jamaa akasema nilivyoona jamaa hawanielewei ili nibidi niwe Mpole tu
Akabeba mpk mbele. .. asubuhi watu wanashangaa ndio muhubiri na akapawa pongezi kikosi kazi [emoji23]
Ko wewe bisha tu
Mbona tunarudi majumbani kwetu kupika..? maneno tuu hii ni miradi ya watukutulia nyumbani mwa Bwana 4hrs ule, unywe na ushibe chakula cha kiroho unaona unapotezewa muda, hebu jitafakari upya.
Wanauzaje dumu la lita 5 mkuu, inafaa ku mixia muwaAfu pia Huwa naenda kwenye duka kule kupata Ile wine ya Lita moja
😆Hii ni serious kabisa au umenogesha tu uzi? Ndo leo nasikia sadaka ya namna hiiMe mwenyewe ni miongoni mwa hao tunaoondoka kabla ya ibada kuisha.
Yani kuna upuuzi mwingi ambao hauna maana,michango ndo usiseme..
Eti ooh sadaka ya kumshukuru mchungaji kwa neno tamu la siku ya leo,najiuliza huyo mchungaji si ndio kazi yake hiyo na analipwa mshahara!
Kila kitu kina kiasi, hata hayo matangazo ya kwenye luninga hayarudiwi kwa mfululizo hupita muda ndipo lirudiwe tena,Asante kwa hoja hii, suala la muda linaweza likawa gumu kwa watu wanaoingia ibadani kutimiza wajibu.
Unahudhuria ibada kwa wiki mara moja, alafu unakerwa na matangazo, Neno la Mungu, kwaya, unataka ufanye ibada nusu uondoke!?
Unaondoka ibadani unaishia kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii, kuongea na marafiki, kulala, kuangalia mpira, Movies, tamthilia, kukaa vijiwe vya kahawa, kukaa kwenye mahoteli.
Kurudiwa matangazo naona sio Jambo baya, huo ni mkazo, kwenye ma TV, ma radio, tunaona tangazo moja linarudiwa kwa siku mara nyingi, mengine yanaenda MIEZI ya kutosha.
Tunapaswa kujiuliza kwanini tunakereka kwa mambo ya ibada, nini kimetukuta, kwanini tusione Jambo jema kukaa kanisani siku ya ibada hasa jumapili?
Muhimu hapa ni kila kitu kwenda kwa utaratibu na mpangilio mzuri, kama vitu havina mpangilio mzuri hapo tuna haja ya kushauri. Wapo wazee wa kanisa au mashemasi kuwafikishia ujumbe wa maboresho vile tunaona inafaa. Tukiona hao hawatafikisha kwa usahihi tuombe kuonana na wachungaji/maaskofu.
Asante
Nenda kkkt usharika wa temboni ukajionee.😆Hii ni serious kabisa au umenogesha tu uzi? Ndo leo nasikia sadaka ya namna hii
Inamaana hiyo ni kila Mchungaji akitoa mahubiri au sio! Kama ni hivyo poleni sanaNenda kkkt usharika wa temboni ukajionee.
Hata kwetu ipo inaitwa shukrani ya nenoNenda kkkt usharika wa temboni ukajionee.
Unarudi kupika ili ule chakula cha kimwili siyo cha kiroho.Mbona tunarudi majumbani kwetu kupika..? maneno tuu hii ni miradi ya watu
Lita Moja elfu kumi mkuu kama sikosei ... Hii ya kumixia na Mua ndo naskia Leo Mkuu 😂Wanauzaje dumu la lita 5 mkuu, inafaa ku mixia muwa
Asante sana Mkuu, ubarikiweUmeongea jambo msingi sana makutupora
AminaAsante sana Mkuu, ubarikiwe
SijakataaKila kitu kina kiasi, hata hayo matangazo ya kwenye luninga hayarudiwi kwa mfululizo hupita muda ndipo lirudiwe tena,