Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Parokia karibia zote
Parokia gani iyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Parokia gani iyo?
Uongo yangu haaina izo mambooParokia karibia zote
Mtu mmoja bora sana kwenye mafundisho ya imani,nimewahi kuhudhuria semina zake tatu kile ni kipawa hasa.Hapo ndugu William Bhoke hajawahi kuja kufanya semina ? Ni mtu mzuri sana katika kanisa la katoliki Tanzania hii
Nifute surual yangu kesho nikajumuike na waamini wa Azania Front DSM, secretarybird ushatoa tithing ni kesho Azania Front.......
Neno la Mungu
Takata....
Lililo tokaa mbingunii
Ambapo moto na kutu haviwezi kuliishinda
Twakushika siku zote maishani na kufani!
Hahaha mkuu kwani tunafahamiana?Mkuu mbona sijakuona nimesali ibada mbili ya kiswahili na Kiingereza. Kanisa Kuu Azania Front
Mdogo wangu alikuwa na Shukrani ya pekee.
Tulikuwa na mchungaji mzinga.
Mchungaji Mbowe.
Mchungaji Chaplain wa DAR TU. (Tudarco)
Hongereni kwa Ibada na sadaka ya shukrani ni kitu kinachonipa amani sana sana........ Hongereni mkuuMkuu mbona sijakuona nimesali ibada mbili ya kiswahili na Kiingereza. Kanisa Kuu Azania Front
Mdogo wangu alikuwa na Shukrani ya pekee.
Tulikuwa na mchungaji mzinga.
Mchungaji Mbowe.
Mchungaji Chaplain wa DAR TU. (Tudarco)
Inategemea na siku hiyo ya ibada kuna kitu gani , ila makanisa ya kiroho mmezidiAah wapi mambo ni yale yale. Kuna kipindi mtu alinambia wako smart sana kwenye muda. Sasa nikaja kuishi naye siku ya J2 nampeleka na kumfata yaani kuna siku namsubiri nje 1hr, mara 30min mara 15min hakuna muda maalum haya makanisa yote viongozi kuna namna wanapaswa kujirekebisha uhuru wao umezidi.
Ukiacha dini ichezewe na kila mtu ndio matokeo yake hayo, but siku hizi umenisusa, niko outdated na muendelezo ila i hope unaendelea na masomo.Lilikua kanisa langu ni hatari, hapa ndo huwa naelewa mashekh wanaokataza bidaaa maaana mengi yanazushwa mpka ibada inakua imevurugika, imagine mpo Kati Kati ya ibada em simameni tumwish mchngaji a happy birthday basi hapo tunaanza kuimba somo la bidaa nalielewa vizuri sana
Sema Nini Kuna fursa sana huko ..ila jiangalie warembon wa kimwera wasije kukutoa nje ya mchezoHahaha panaboa sana
Jamaa kweli hakujipenda!Kuna Jamaa Alinunua Wine Akawa Anaendesha Boda Barabara Kuu
Akajikuta Kadondoka Ghafla, Sababu Anasema Wine 🍷 Ilimpa Vibe
Nimefarijika kuona maneno haya, ni ndugu yangu Huyu jamaa. Ni mtu wenye neema kubwa sanaMtu mmoja bora sana kwenye mafundisho ya imani,nimewahi kuhudhuria semina zake tatu kile ni kipawa hasa.
Sawa MkuuUshahidi utakusaidia nini ikiwa kila kitu kipo wazi mkuu.
Kwa facts anazoandika jamaa possible ni mwenzenuUnaelewa maana ya kukaa na kupanga? Ushasema wanakaa na kupanga sasa unataka makao makuu yapange hadi muda wa kutoka.
Yn ww unaumia kuona hakuna mtu mmoja kuongoza makanisa yote duniani kama kwenu Katoliki 😂
Still kuna atafika saa tatu ½,yaani watu ni wa ajabu ujue!?Duuuh 🤣🤣🤣 mna muda wa kusubiri wachelewaji??
Sasa si mchelewe wote ibada ianze saa3???
Shakuambia ni Upumbavu na ujuha ,kumfuatilia Dini usiyo amini!Ukristo wa kweli tunaujua jibu maswali kama ni uongo ...toa hoja ...ni Yesu au mtume au nabii gani aliye badilisha heshima ya nyumba ya mungu ya ibada hadi watu wakaingia na viatu na kukaa vitini .....mimi nimetoa elimu isiyo na shaka kuhusu nini kilicho tokea .....
Mungu akusaidie utambue kuwa wale ni makuhani wamewekwa na Mungu kutimiza kazi yake. Suala la muda wa ibada kuwa mrefu ni jambo ambalo unaweza kufika ofisi ya mchungaji kiongozi ukatoa ushauri kuliko kuja hapa kulalamikia jambo ambalo wengi wa unaowalalamikia ni ama wa mlengo mwingine au si watu hata wanaoamini uwepo wa Mungu. Pia ufahamu suala la ibada ni nyeti na ni la kiroho kwa hiyo kuhani wa zamu anaweza kutumia muda wa ziada akifundisha au kuombea kwa kadri Roho wa Mungu atakavyomuongoza. Jambo la msingi la kujihoji wewe binafi ni kwa jinsi gani unapoingia ibadani unamwabudu Mungu katika Roho na kweli au unaenda kutimiza desturi tu. Mungu sio wa mazoea.Habari wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo
Usomaji wa matangazo ya week,
Kwa dunia ya sasa kuna namna nyingi matangazo kuwafikia waumini, Unakuta mzee wa kanisa kamaliza kusoma matangazo, mchungaji naye anakuja kutolea ufafanuzi wa matangazo yale yale
Ibada binafsi kuunganishwa na ibada za jumapili,
Mfano issue za ubatizo watoto zingefaa zipangiwe muda wa kipekee, Kama ilivyo ibada ya kufunga Ndoa,n.k
Muingiliano wa ratiba nyingi katikati ya ibada unapekea waumini wengi kushindwa kuvumilia kukaa mpaka mwisho, matokeo yake mchungaji akimaliza neno utaona idadi kubwa ya waumini wanaondoka kabla ya Ibada kuisha, hii sio ishara nzuri sana, kama kanisa inabidi kutafakari hili kwa kina
Wote tunajua lengo kuu la ibada ni Kusifu, kuabudu na kupata chakula cha kiroho (Neno la Mungu)
Ibada kuwa ndefu sio tatizo ,ila inategemea ime base upande gani, haya ni mawazo yangu binafsi,
Asanteni
Kwa hiyo wewe fara ndiyo unajua dini😁Shakuambia ni Upumbavu na ujuha ,kumfuatilia Dini usiyo amini!
Tuwaonee huruma waliofariki wanahitaji bado maombi yetu kwa sababu hata kesho sisi tutahitaji kuombewa na tutakaowaacha,ibada bila nyimbo hapana hatujawa busy kiasi hicho Catholic kinachochukua muda sana ni matangazo.Mimi ni RC, nilidhani hili ni tatizo huku kwetu tu. Ukweli ibada ndefu ni chukizo kwa wakati huu. Jumapili ni mapumziko kwa alie jitosheleza (yupo? Hata yesu alifanya kazi siku ya sabato). Nyimbo, maombi kwa marehemu na matangazo zinachukua muda mrefu sana. Mabadiliko ni muhimu.
Ni chache sana,mfano parokia niliyo mimi Bikira Maria Consolata Makabe Paroko wetu anajaribu kujenga umoja na hata wale waliokaa nje ya Kanisa kwa muda.Parokia karibia zote