Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

Hilo la kuzunguka kutoa sadaka mara nyingi sharika zingine nalo walitazame kwakweli ni kupoteza muda, kwetu ilitolewa tukaletewa bahasha moja ina partition unaweka sadaka zako zote humo kasoro fungu la kumi na shukrani ya pekee, kuzunguka ni mara moja tu
Mtu unazunguka kama vile unafanya riadha
 
Mm ibada ikizidi masaa matatu bc ht somo lazima nisahau
 
😂 Wewe mpumbavuu umenikumbusha story fulani!

Kuna jamaa angu mmoja ni Mtumishi, aliitwa kwenye ushirika fulani mkoa fulani kufanya semina ya wiki nzima!

Sasa alifika hapo kwenye ushirika saa 5 kama 6 usiku maana safari ilikuwa ndefu kutokea Dar!

Sasa pale ushirikani hiyo siku palikuwa na mkesha! Akaona ngoja niende nikahudhurie mkesha kidogo afu ndo nikampuzike!

Katika ya mkesha maana alikuwa amekaa huku kwenye washirika! Akawa anasinzia Ile anasinzia anashutka!

Kumbe ilikuwa ni katika ya maombi! Kile kikosi kazi sijui kilitokea wapi kikambeba wakihisi jamaa ana mapepo 😂

Si akaanza kugoma anasema "Niachieniiiii Sina mapepooo"

Wazee wakasema umeona mapepo yanaameanza ubishi na ndo wakazidi kumbeba vizuri 😂

Jamaa akasema nilivyoona jamaa hawanielewei ili nibidi niwe Mpole tu

Akabeba mpk mbele. .. asubuhi watu wanashangaa ndio muhubiri na akapawa pongezi kikosi kazi 😂

Ko wewe bisha tu
Dah nmecheka sana 😂
Mwenye mapepo akaanza kuwatoa watu mapepo 🔥
 
Duh hivi kuna watu bado huwa mnasali?

Ajabu.
Siku ukifa na ndo unakaribia lile geti, halafu unashangaa yule bwana mdogo aliyekuwa akikuhimiza kwenda kanisani ndo yuko getini..........
Halafu anakwambia ndugu yangu smart card ya kuingilia huku mbinguni umeiacha duniani........

Hspo ndo unakumbuka laiti ungemsikia..
.
 
Hahahaahaha huu uzi nimecheka sana.
Lilikua kanisa langu ni hatari, hapa ndo huwa naelewa mashekh wanaokataza bidaaa maaana mengi yanazushwa mpka ibada inakua imevurugika, imagine mpo Kati Kati ya ibada em simameni tumwish mchngaji a happy birthday basi hapo tunaanza kuimba somo la bidaa nalielewa vizuri sana
 
😂 Wewe mpumbavuu umenikumbusha story fulani!

Kuna jamaa angu mmoja ni Mtumishi, aliitwa kwenye ushirika fulani mkoa fulani kufanya semina ya wiki nzima!

Sasa alifika hapo kwenye ushirika saa 5 kama 6 usiku maana safari ilikuwa ndefu kutokea Dar!

Sasa pale ushirikani hiyo siku palikuwa na mkesha! Akaona ngoja niende nikahudhurie mkesha kidogo afu ndo nikampuzike!

Katika ya mkesha maana alikuwa amekaa huku kwenye washirika! Akawa anasinzia Ile anasinzia anashutka!

Kumbe ilikuwa ni katika ya maombi! Kile kikosi kazi sijui kilitokea wapi kikambeba wakihisi jamaa ana mapepo 😂

Si akaanza kugoma anasema "Niachieniiiii Sina mapepooo"

Wazee wakasema umeona mapepo yanaameanza ubishi na ndo wakazidi kumbeba vizuri 😂

Jamaa akasema nilivyoona jamaa hawanielewei ili nibidi niwe Mpole tu

Akabeba mpk mbele. .. asubuhi watu wanashangaa ndio muhubiri na akapawa pongezi kikosi kazi 😂

Ko wewe bisha tu
Kaka ni nipo neutral sio makobazi wala mafuta ya upako
 
Martin alianzisha dini gani?
Lutheran maana yake ni wafuasi wa Martin Luther

Lutheranism is a major branch of Protestant Christianity that traces its teachings and practices to Martin Luther, a German theologian and reformer who lived in the 16th century. Luther's objections to certain practices in the Roman Catholic Church, such as the sale of indulgences, led to the Reformation, a movement that aimed to reform Christian beliefs and practices.

Key beliefs of Lutheranism include:

1. Justification by Faith Alone (Sola Fide): The belief that humans are saved by God's grace alone, through faith in Jesus Christ, and not by good works.

2. Scripture Alone (Sola Scriptura): The Bible is the sole authoritative source for Christian faith and practice.

3. The Priesthood of All Believers: All Christians have direct access to God, without the need for an intermediary priest.

4. The Sacraments: Lutheranism emphasizes two sacraments—Baptism and the Eucharist (Holy Communion)—as means of receiving God’s grace.

Lutherans also believe in the real presence of Christ in the Eucharist, but they reject the Catholic doctrine of transubstantiation. They accept that Christ is present in a mystical or spiritual way but do not believe that the bread and wine literally transform into Christ's body and blood.

Lutheranism is one of the largest Protestant denominations, with various branches and traditions, such as the Evangelical Lutheran Church in America (ELCA) and the Lutheran Church–Missouri Synod (LCMS).
 
Kwahy Lutheran n dini gani mana kelele mingi ila bado hujanijibu, mana umesema Luther ameanzisha dini.
 
Siku ukifa na ndo unakaribia lile geti, halafu unashangaa yule bwana mdogo aliyekuwa akikuhimiza kwenda kanisani ndo yuko getini..........
Halafu anakwambia ndugu yangu smart card ya kuingilia huku mbinguni umeiacha duniani........

Hspo ndo unakumbuka laiti ungemsikia..
.
Mnakuwaga na ndoto za mchana watu wa dini. Hizo hekaya unaziamini kabisa na akili zako? 🤣🤣
 
Sahihi kabisa, mm nasali KKKT Manzese, ibada inaanza saa moja afu kutoka n saa 5:30 huko.

Mambo yanayofanyika n upuuzi tuu.
Kwanza, saa 1:00 - 1:30 ni muda wa kusubiri wachelewaji, yn mchungaji kabisa anasema huo n muda wa kusubiri wale ambao bado hawajafika kanisani.

Pili, kwenye matangazo lazima mchungaji awe na matangazo yake binafsi na mengine tayari yalishasomwa ila atayarudia tena yn kama vile waumini n watoto wadogo kwamba wanasahau hapo hapo. Kila siku matangazo yale yale ad muda wa kuingia kanisani bado mtaambiwa kuwa n saa moja.

Tatu, tukio hadi la mwaka jana bado litasemwa mwaka huu mwezi wa tatu, mfano mwisho wa mwaka huo kuna siku maalum ya sadaka ya mavuno, ila hy sadaka itasemwa kila siku hata miezi sita ipite.

Nne, mzunguko wa kutoa sadaka ni wa kupoteza muda kinoma, kuna sadaka ya jengo na uwakili hizi sadaka zinatolewa kwenye bahasha hvy n mzunguko mmoja ila wanalazimisha iwe mizunguko miwili.

Yn mm vitu vya maana naona havizidi hata saa 3.
Mbaga uko vizuri, sisi tulilazimisha matangazo ya Kila siku ( yaliyozoeleka) yawekwe kwenye ubao wa matangazo, lakini hali kuwa jambo dogo! Tuitwa wasaliti. Hio ilikuwa Moro usharika wa kora.
 
Habari wakuu,

Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),

Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo

Usomaji wa matangazo ya week,

Kwa dunia ya sasa kuna namna nyingi matangazo kuwafikia waumini, Unakuta mzee wa kanisa kamaliza kusoma matangazo, mchungaji naye anakuja kutolea ufafanuzi wa matangazo yale yale

Ibada binafsi kuunganishwa na ibada za jumapili,

Mfano issue za ubatizo watoto zingefaa zipangiwe muda wa kipekee, Kama ilivyo ibada ya kufunga Ndoa,n.k

Muingiliano wa ratiba nyingi katikati ya ibada unapekea waumini wengi kushindwa kuvumilia kukaa mpaka mwisho, matokeo yake mchungaji akimaliza neno utaona idadi kubwa ya waumini wanaondoka kabla ya Ibada kuisha, hii sio ishara nzuri sana, kama kanisa inabidi kutafakari hili kwa kina

Wote tunajua lengo kuu la ibada ni Kusifu, kuabudu na kupata chakula cha kiroho (Neno la Mungu)
Ibada kuwa ndefu sio tatizo ,ila inategemea ime base upande gani, haya ni mawazo yangu binafsi,

Asanteni
Well said! Kwakweli ina-bore sana. Sasa hivi wamingiza na mambo ya birthday katikati ya ibada, watu wanaanza kukata keki na kulishana wakiwa katikati ya ibada. Hii tabia iachwe maramoja. Siku ya ubatizo na mambo yanayofanana na hayo yatengewe siku yao ili siku ya Jumapili iwe siku ya; neno la Mungu, uuchaji na chakula cha Bwana tu.
 
Back
Top Bottom