Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

Ratiba inapangwa na makao makuu na nilazima ifuatwe, KKKT ni kama mkusanyiko na kila kikundi kinapanga yake, mfano baadhi misa ya Jumapili inaanza saa 12 asubuhi mpaka saa tatu kisha inaingia misa ya pili, lakini wengine inaanza saa 1 asubuhi na ni misa moja tu.
Unaelewa maana ya kukaa na kupanga? Ushasema wanakaa na kupanga sasa unataka makao makuu yapange hadi muda wa kutoka.
Yn ww unaumia kuona hakuna mtu mmoja kuongoza makanisa yote duniani kama kwenu Katoliki 😂
 
Hiyo ya mnada mimi ndio naonaga ni kama wizi flani katoriki ata ukileta kuku hawauzi zaidi wanaweza mfuga akatoto wengine kuku mchele utaenda kwenye nyumba ya mapdre sasa wao wanataka pesa then pesa ile ile wanaenda kununua mchele uleule alio uza jana
Wanapata faida. Mfano huo mchele kilo moja unaweza ukapigwa mnada ukauzwa 15,000.
 
Mimi wanaonikera ni kwaya, yaani wanapewa nafasi waimbe waanza sijui kutafuta wimbo kwenye flash, wanapoteza muda kinoma. Sometimes wanapewa waimbe kwaajili ya sadaka sasa unakuta utoaji wa sadaka umeshaisha ila wao wanaendelea tu kuimba badala ya kukatisha wimbo
 
Unajua maisha yako hivi!

Nakupa tafakari yangu ya siku! Huwaga Nina utaratibu wa kuwa thought au wazo la siku la kulitafakari.

Na wazo Hilo Huwa nataka siku zote liwe linanikosoa ili kuniboresha!

Sasa wazo langu la Leo ni hili ... Kila kitu unachotumia muda wako mwingi kuhusiana nacho, kinakufanya ufananane nacho

"Whatever you spend a lot of time with makes you become like it."

Muda wako mwingi unatumia kusoma, kuangalia Nini? Utakuwa Hiko!

Ukipata nafasi ya kuhudhuria semina katikati ya wiki ... Hiyo nafasi ukiwa nayo ... Fanya!

Inakufanya uwe mwepesi kunyaka vitu vya Rohoni na kumsikia na kumuelewa Mungu kwa wepesi sana!

Sio kama Mungu hasemi na sisi, ila nafsi zetu na mioyo yetu imejaa karokoro mengi yenye sauti kubwa sana kuliko Neno la Mungu ndani yetu

Kwa sababu tu hatuna au hatujampa Kipaumbele na muda wa kutosha Katika maisha yetu
Msemaji wetu wa majobless ndugu makutupora hapa umeupiga mwingi. Amani ya Bwana iwe nawe mkuu
 
WAKRISTO NI WAPUMBAVU ....KWENYE UKRISTO WA KWELI HAKUNA MUDA WA IBADA KUANZA WALA KUISHA BALI INATEGEMEA NA MTU MWENYEWE ....HUU UKRISTO ULIOPO DUNIANI LEO SIYO KABISA ULE ULIOKUWEPO ZAMANI KABLA YA KUJA KWA MADHEHEBU YA DINI....IBADA NI SIRI YA MTU MOYONI MWAKE NA MUNGU WAKE ...KASOMENI VIZURI HIZO DINI ZENU ...Kasomeni kisa cha 👉( mama yake Nabii samweli na mkuu wa dini) ...namna alivyo mdhani huyo mama kuwa ni mlevi kwa sababu zamani watu walikutanika ibadani na kila mtu alifanya ibada ya siri ya moyo wake na Mungu wake na kuondoka tofauti na sasa...
👉WAPUMBAVU HADI MNASALISHANA 👈 kusalishana ni dhambi kubwa sana kwa anaye Sarisha na anaye kubali kusarishwa.....tumieni akili.....ndiyo maana ndani ya uislamu kuna kuswarishana 👉 ni tendo la KISHETANI MBELE ZA MUNGU WA KWELI. Kama hamjui kivipi niulizeni.
Ni upumbavu mkubwa kumfuatilia Imani isiyo yako!
 
Me mwenyewe ni miongoni mwa hao tunaoondoka kabla ya ibada kuisha.
Yani kuna upuuzi mwingi ambao hauna maana,michango ndo usiseme..
Eti ooh sadaka ya kumshukuru mchungaji kwa neno tamu la siku ya leo,najiuliza huyo mchungaji si ndio kazi yake hiyo na analipwa mshahara!
Shukrani ya neno
Huku tena shukrani ya week
Huwa sielewi
 
Ni upumbavu mkubwa kumfuatilia Imani isiyo yako!
Ukristo wa kweli tunaujua jibu maswali kama ni uongo ...toa hoja ...ni Yesu au mtume au nabii gani aliye badilisha heshima ya nyumba ya mungu ya ibada hadi watu wakaingia na viatu na kukaa vitini .....mimi nimetoa elimu isiyo na shaka kuhusu nini kilicho tokea .....
 
Duuuh 🤣🤣🤣 mna muda wa kusubiri wachelewaji??
Sasa si mchelewe wote ibada ianze saa3???
Sahihi kabisa, mm nasali KKKT Manzese, ibada inaanza saa moja afu kutoka n saa 5:30 huko.

Mambo yanayofanyika n upuuzi tuu.
Kwanza, saa 1:00 - 1:30 ni muda wa kusubiri wachelewaji, yn mchungaji kabisa anasema huo n muda wa kusubiri wale ambao bado hawajafika kanisani.

Pili, kwenye matangazo lazima mchungaji awe na matangazo yake binafsi na mengine tayari yalishasomwa ila atayarudia tena yn kama vile waumini n watoto wadogo kwamba wanasahau hapo hapo. Kila siku matangazo yale yale ad muda wa kuingia kanisani bado mtaambiwa kuwa n saa moja.

Tatu, tukio hadi la mwaka jana bado litasemwa mwaka huu mwezi wa tatu, mfano mwisho wa mwaka huo kuna siku maalum ya sadaka ya mavuno, ila hy sadaka itasemwa kila siku hata miezi sita ipite.

Nne, mzunguko wa kutoa sadaka ni wa kupoteza muda kinoma, kuna sadaka ya jengo na uwakili hizi sadaka zinatolewa kwenye bahasha hvy n mzunguko mmoja ila wanalazimisha iwe mizunguko miwili.

Yn mm vitu vya maana naona havizidi hata saa 3.
 
Acha kuingiza uislamu kwenye huo upuuzi na upumbavu wenu.
We huo upumbavu ulooletwa na waarabu unaona luluu, we pimbi ndio maana mbadharauliwa ngozi nyeusi. Waislam mnajipendekeza kwa waarabu pamoja na ukatili na udhalilishaji mnaofanyiwa. Uislam ni mbinu ya kuwapumbaza waafrika km wewe.
 
Sahihi kabisa, mm nasali KKKT Manzese, ibada inaanza saa moja afu kutoka n saa 5:30 huko.

Mambo yanayofanyika n upuuzi tuu.
Kwanza, saa 1:00 - 1:30 ni muda wa kusubiri wachelewaji, yn mchungaji kabisa anasema huo n muda wa kusubiri wale ambao bado hawajafika kanisani.

Pili, kwenye matangazo lazima mchungaji awe na matangazo yake binafsi na mengine tayari yalishasomwa ila atayarudia tena yn kama vile waumini n watoto wadogo kwamba wanasahau hapo hapo. Kila siku matangazo yale yale ad muda wa kuingia kanisani bado mtaambiwa kuwa n saa moja.

Tatu, tukio hadi la mwaka jana bado litasemwa mwaka huu mwezi wa tatu, mfano mwisho wa mwaka huo kuna siku maalum ya sadaka ya mavuno, ila hy sadaka itasemwa kila siku hata miezi sita ipite.

Nne, mzunguko wa kutoa sadaka ni wa kupoteza muda kinoma, kuna sadaka ya jengo na uwakili hizi sadaka zinatolewa kwenye bahasha hvy n mzunguko mmoja ila wanalazimisha iwe mizunguko miwili.

Yn mm vitu vya maana naona havizidi hata saa 3.
Hilo la kuzunguka kutoa sadaka mara nyingi sharika zingine nalo walitazame kwakweli ni kupoteza muda, kwetu ilitolewa tukaletewa bahasha moja ina partition unaweka sadaka zako zote humo kasoro fungu la kumi na shukrani ya pekee, kuzunguka ni mara moja tu
 
Back
Top Bottom