Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Unaelewa maana ya kukaa na kupanga? Ushasema wanakaa na kupanga sasa unataka makao makuu yapange hadi muda wa kutoka.Ratiba inapangwa na makao makuu na nilazima ifuatwe, KKKT ni kama mkusanyiko na kila kikundi kinapanga yake, mfano baadhi misa ya Jumapili inaanza saa 12 asubuhi mpaka saa tatu kisha inaingia misa ya pili, lakini wengine inaanza saa 1 asubuhi na ni misa moja tu.
Yn ww unaumia kuona hakuna mtu mmoja kuongoza makanisa yote duniani kama kwenu Katoliki 😂