Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

Sahihi kabisa, mm nasali KKKT Manzese, ibada inaanza saa moja afu kutoka n saa 5:30 huko.

Mambo yanayofanyika n upuuzi tuu.
Kwanza, saa 1:00 - 1:30 ni muda wa kusubiri wachelewaji, yn mchungaji kabisa anasema huo n muda wa kusubiri wale ambao bado hawajafika kanisani.

Pili, kwenye matangazo lazima mchungaji awe na matangazo yake binafsi na mengine tayari yalishasomwa ila atayarudia tena yn kama vile waumini n watoto wadogo kwamba wanasahau hapo hapo. Kila siku matangazo yale yale ad muda wa kuingia kanisani bado mtaambiwa kuwa n saa moja.

Tatu, tukio hadi la mwaka jana bado litasemwa mwaka huu mwezi wa tatu, mfano mwisho wa mwaka huo kuna siku maalum ya sadaka ya mavuno, ila hy sadaka itasemwa kila siku hata miezi sita ipite.

Nne, mzunguko wa kutoa sadaka ni wa kupoteza muda kinoma, kuna sadaka ya jengo na uwakili hizi sadaka zinatolewa kwenye bahasha hvy n mzunguko mmoja ila wanalazimisha iwe mizunguko miwili.

Yn mm vitu vya maana naona havizidi hata saa 3.
😊😊Kondoo wa sasahivi hawapendi kukaa na Mchungaji wao muda mrefu tofauti na Kondoo wa Kipindi hicho!!!😀😀
 
Me mwenyewe ni miongoni mwa hao tunaoondoka kabla ya ibada kuisha.
Yani kuna upuuzi mwingi ambao hauna maana,michango ndo usiseme..
Eti ooh sadaka ya kumshukuru mchungaji kwa neno tamu la siku ya leo,najiuliza huyo mchungaji si ndio kazi yake hiyo na analipwa mshahara!
Jamn toa ili kesho usipewe neno chungu1😂
 
matokeo yake mchungaji akimaliza neno utaona idadi kubwa ya waumini wanaondoka kabla ya Ibada kuisha, hii sio ishara nzuri sana, kama kanisa inabidi kutafakari hili kwa kina
Kwani si neno limeisha au mpo sokoni?
 
Ibada ya katoriki
Misa ya kwanza saa 12 :00
Saa 11:45 sala za asubuh na maungamo
12:00 padri kasha anzisha misa iyooo mpka saa mbiki kasoro misa imeisha unarudi nyumbani kunywa chai na kulala padri hana matangazo ya kukazia labda kama kuna ugeni na kama kuna ugeni kutoka redio maria inatangazwa juma pili moja kabla ya wageni kufika
 
🤣Mniombee kwamba Nina mapepo
😂 Wewe mpumbavuu umenikumbusha story fulani!

Kuna jamaa angu mmoja ni Mtumishi, aliitwa kwenye ushirika fulani mkoa fulani kufanya semina ya wiki nzima!

Sasa alifika hapo kwenye ushirika saa 5 kama 6 usiku maana safari ilikuwa ndefu kutokea Dar!

Sasa pale ushirikani hiyo siku palikuwa na mkesha! Akaona ngoja niende nikahudhurie mkesha kidogo afu ndo nikampuzike!

Katika ya mkesha maana alikuwa amekaa huku kwenye washirika! Akawa anasinzia Ile anasinzia anashutka!

Kumbe ilikuwa ni katika ya maombi! Kile kikosi kazi sijui kilitokea wapi kikambeba wakihisi jamaa ana mapepo 😂

Si akaanza kugoma anasema "Niachieniiiii Sina mapepooo"

Wazee wakasema umeona mapepo yanaameanza ubishi na ndo wakazidi kumbeba vizuri 😂

Jamaa akasema nilivyoona jamaa hawanielewei ili nibidi niwe Mpole tu

Akabeba mpk mbele. .. asubuhi watu wanashangaa ndio muhubiri na akapawa pongezi kikosi kazi 😂

Ko wewe bisha tu
 
Tatizo KKKT haina mpangilio wa kanisa moja, kila ushirika unaendesha mambo yake bila ratiba na hujikuta kuwa na mambo mengi yasiyo na tija kwa waumini, ukija kwenye mpangilio wa kwaya, hapo kuna tatizo baadhi ya ushirika kwani ikisimamishwa kwaya inaweza kuchukua dakika zisizopungua sita ndipo wanaanza kuimba, wakimaliza zitapotezwa dakika nyingine tisa ili kwaya nyingine ianze kuimba!
Kwa kifupi ni kanisa lisilo na ratiba madhubuti ya kuanza na kumaliza misa ya kwanza ili misa ya pili ianze, mathlani misa ya kwanza inaanza saa kumi na mbili hadi saa tatu asubuhi, utakuta inaendelea mpaka saa tatu na nusu au nne kasorobo!
Kanisa ninalosali aliwahi kuja kiongozi toka makao makuu na kushauri jinsi ya kutumia muda vizuri lakini ushauri huo haukusikilizwa.
Matumizi ya muda kwetu sisi watanzania ni tatizo sugu. Na ubaya linaanzia huko 👆
 
😂 Wewe mpumbavuu umenikumbusha story fulani!

Kuna jamaa angu mmoja ni Mtumishi, aliitwa kwenye ushirika fulani mkoa fulani kufanya semina ya wiki nzima!

Sasa alifika hapo kwenye ushirika saa 5 kama 6 usiku maana safari ilikuwa ndefu kutokea Dar!

Sasa pale ushirikani hiyo siku palikuwa na mkesha! Akaona ngoja niende nikahudhurie mkesha kidogo afu ndo nikampuzike!

Katika ya mkesha maana alikuwa amekaa huku kwenye washirika! Akawa anasinzia Ile anasinzia anashutka!

Kumbe ilikuwa ni katika ya maombi! Kile kikosi kazi sijui kilitokea wapi kikambeba wakihisi jamaa ana mapepo 😂

Si akaanza kugoma anasema "Niachieniiiii Sina mapepooo"

Wazee wakasema umeona mapepo yanaameanza ubishi na ndo wakazidi kumbeba vizuri 😂

Jamaa akasema nilivyoona jamaa hawanielewei ili nibidi niwe Mpole tu

Akabeba mpk mbele. .. asubuhi watu wanashangaa ndio muhubiri na akapawa pongezi kikosi kazi 😂

Ko wewe bisha tu
Hii ni hatariii, si mchezo!
 
Nime cheka sana walah😂😂😂😂🙌

Ishu ni kwamba wana washirika wengi sana kiasi kwamba mchungaji hajui washirika wake zaidi ya wale wa meza kuu tu. Kingine waumini wamezoea mafundisho manyonge ya kiliturijia, hayo hayo tu nchi nzima mstari unasomwa ni mmoja tu. Wachungaji wao wako hoi kiroho ndio maana wanakimbiwa na washarika wao
 
Mnada ni jana ila myama zimebaki nyingi sana, wine tutasaga zabibu inakuwa divai kama tunashiriki meza ya bwana
Hahaha ... Dodoma mnadaniii

Nilikuwa nikifika hapo, nanaanza na utumbo na maini afu ndo nyamaa!

I just missed that place!

Wine nzuri ni ile ingine, afu unajua hata hii tunayoshiriki meza ya Bwana ukinywa nyingi unapata vibe!

Labda Ile ya wasabato wanatengeneza Leo kesho wanashiriki
 
Mkuu wewe ni mtu wa Altare tuu lazima!!😀😀
 
Hahaha ... Dodoma mnadaniii

Nilikuwa nikifika hapo, nanaanza na utumbo na maini afu ndo nyamaa!

I just missed that place!

Wine nzuri ni ile ingine, afu unajua hata hii tunayoshiriki meza ya Bwana ukinywa nyingi unapata vibe!

Labda Ile ya wasabato wanatengeneza Leo kesho wanashiriki
Sio mpaka unywe, harufu tu vibe kama lote.
Hiyo ya Wasabato ndiyo ninayoimaanisha
 
Sio mpaka unywe, harufu tu vibe kama lote.
Hiyo ya Wasabato ndiyo ninayoimaanisha
Hahaha wewe ni mdau eeh,?

Nina jamaa angu kwenye kushiriki anasemaga Mimi nataka Ile ya kwenye kikombe kikubwa nikapige fumba mojaaaaaa matata

Ili nibane bajeti ... Ya wasabato siitakii!

Kwa Hali niliyo nayo hiyo ya wasabato hainifai
 
Wote tunajua lengo kuu la ibada ni Kusifu, kuabudu na kupata chakula cha kiroho (Neno la Mungu)
Ibada kuwa ndefu sio tatizo ,ila inategemea ime base upande gani
Mleta mada analalamikia tabia ya wachungaji kurudia rudia matangazo kama vile waumini ni watoto wadogo wanasahau sahau, nawe unarudia rudia kuandika kilichoandikwa kama vile sisi wasomaji hatujui kusoma vizuri?
 
Ibada ndefu halafu mtoke nje ya kanisa kwa mstari muanze kupeana mikono. Baada ya hapa vinaletwa vitu, ndizi, maparachichi inafanyika mnada. Loh inachosha kwa kweli
Hiyo ya mnada mimi ndio naonaga ni kama wizi flani katoriki ata ukileta kuku hawauzi zaidi wanaweza mfuga akatoto wengine kuku mchele utaenda kwenye nyumba ya mapdre sasa wao wanataka pesa then pesa ile ile wanaenda kununua mchele uleule alio uza jana
 
Mkuu kama umenisemea mimi leo
Nimeingia ibada ya kwanza kwakweli nimetoka baada ya neno kuisha woiii mambo ni mengi sana saa tano kasoro ibada ya kwanza haijaisha

Ila zamani tupo wadogo jamaniii ibada ya kwanza inaisha saa tatu sasa hivi sijui inakuwaje
 
Back
Top Bottom