Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
WEE JAMAA NDEGE NILIMUONA ZAMANI SANA TARIME NIKIWA NA MIAKA 7, SIKUMUONA TENA HAPA DUNIANI JINA LAKE HIVOHIVO! NITARUDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEE JAMAA NDEGE NILIMUONA ZAMANI SANA TARIME NIKIWA NA MIAKA 7, SIKUMUONA TENA HAPA DUNIANI JINA LAKE HIVOHIVO! NITARUDI
Karibu Pacha.Pacha naomba kazi
umeongea simple sana... ila umenena vyema mkuu tena upo sahihi, heshima kwakoSwala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
Tumsubirie tu😅Nasubiri comment ya MTU ANAEJIPENDEKEZA.
Umenisema mkuu, staff kwetu sipendwi kabisa kwa sbb km hizo, sijui kwanini wabongo tuko hivi.Mimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana kuliko hata Shetani.
Kuna ushauri wako nimeufuata umenisaidia.Tumsubirie tu😅
We unaweza kweli?.
Kwa mume/walezi, waliobaki mkafie kuleeeeeeeeeeeEndelea na msimamo wako,lkn inabidi uwe na juhudi sana ktk maisha ili kujimudu vinginevyo kuna siku vyuma vikikaza utajifunza kuwa mnyenyekevu.
Umenisema mkuu, staff kwetu sipendwi kabisa kwa sbb km hizo, sijui kwanini wabongo tuko hivi.
Mizukulu mnapendwa sanaIla uzuri tu ni kwamba Mwenyezi Mungu huwa anatupenda sana Watu wa ' Dizaini ' zetu halafu huwa anatupa Maisha marefu na Kutulinda mno.
Hii kauli muhimu sana.
Wakati naanza kazi Unyamwezini, kuna ofisi nilikuwa nafanya, bosi mtu poa sana nilimuona. Yuko focused kiaina, lakini very approachable.
Sasa siku moja nikaamua kumtembelea ofisini kwake, a sort of "management by walking around",maana kuna watu wengine wanaweza kuwa na issue hawakufuati, lakini ukiwafuata, wanakueleza issues zao.
He, basi nilivyomfuata ofisini kwake, tena wala si kwa nia ya kujipendekeza-I have too much pride for that- ila kumsalimia tu, jamaa alinibadilikia mpaka leo siwezi kusahau.
Aliniangalia akaniuliza, umekuja kufanya nini hapa? Nikasema nimekuja kukusalimia tu. Akasema niko busy saa hizi. Nikasema OOOOK.
Needless to say, miezi michache baadaye nilitafuta sehemu nyingine nikajikata.
Sehemu nyingine hata ukitaka kusalimia watu ni kwa appointment, ama sivyo unaonekana unapotezea watu muda.
Tatizo lako wewe umekosa BUSARA humu.Mimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana kuliko hata Shetani.
Tatizo lako wewe umekosa BUSARA humu.
Ishu ndogo TU ya kumwelewesha mtu,
Solution yake wee unaona Ni kumchamba mtu,
Unaporomosha mvua ya mitusi ya nguoni mpk watu wanahama kwny mada ya Uzi husika.
[emoji3525]NANI ANAKOSA KUKUCHUKIA KWA MAMBO HAYO YA KI-ASHA NGEDELE HUMU NDANI.
Maisha bila unafki hayaendiYule jamaa inawezekana nilimkuta yupo katikati ya stress za madeni.
Jamaa alikuwa eccentric Professor fulani hivi kawa frustrated na maisha, rafiki zake aliosoma nao wote wametoboa maisha, mmoja alikuwa rais Europe. Yeye alikuwa anajiona kalosti.
Mimi nilivyousoma mchezo tu na kuona hapa hamna respect nilijikata zangu.
Tatizo jamaa ni bonge la passive aggressive. Leo kakuzodoa hivyo, kesho anakupa offer vizuri akununulie lunch kama bosi poa tu.
Nikasema hapa hapanifai.
I had the exact opposite problem, ofisi ike ukijipendekeza ndiyo unaleta tatizo, watu hawana muda wa kuendekeza kujipendekeza.
Ndo Maana unachukiwaPumbavu.
Sawa!!!.Kwa mume/walezi, waliobaki mkafie kuleeeeeeeeeee