Tabia za Ajabu za Watoto

TUFANYE UTARATIBU BASI...MAANA WANAWAKE WA AINA YAKO NI NADRA SANA...NAPENDA MAMA BORA MLEZI WA FAMILIA...
 
Kulea kazi aisee[emoji16][emoji16]
Acha tu. Keshapasua vioo vya kabati. Simu zangu anapasua. Laptop akikutana nayo inaiweka halafu anarukia kwa juu. Nikilala akiamka akiniita siitiki ananitoboa machoni. Hapo miaka miwili tu
 
Ahahhahaahhaha
 
Kawajuaje mashoga itakuwa anasikia mtu anasema hayo maneno nae kakariri
 
Watoto wengi huharibiwa na akina mama, utakuta mtoto hasikii kabisa, akifanya kosa utasikia mama yake anasema wewe achaaa alafu anatulia sasa mtoto anaona km hajatenda kosa anaendelea kurudia makosa zaidi, mama anakuwa bize na simu za tachi....akimuona ndio utasikia achaaa alafu kwa sauti ya mahaba, sasa watoto wamekuwa vurugu tupu aisee!!. Wamama chanzo kikuu
 
Hii inaashiria malezi mabovu mno.

Nawashangaaga sana wazazi wanaochekelea watoto wanaoongea hovyo na watu wazima wakihisi ndio akili au ujanja. Mtoto akishafikia level fulani akawa na uelewa anapaswa kudhibitiwa ili asikuwe katika ujinga! Ukimchekea ataona ni vizuri na ataendelea kutamka ujinga!
 
Mimi kuna watoto wa dada anguu. Walinambia usiwe unakuja kwetu unatumalizia chakula, na Kuna Kipindi Nilikuwa Mgeni nikafikia kwao, walinambia toka kwetu hatutaki wageni, walikuwa wakubwa tu Kama 10yrs na mwingine 12years hivi...
Asa hivi namaisha yangu,
Sasa hivi ni wakubwa. Na nawapenda.. Ila hizo tabia sijui Kama bado wanazo
Na wanapenda Kweli kuja kwangu coz Kuna zawadi nawachukuliaga wakija wanazikuta. Kuna mda Nacheka na kusema sijui walipataga wapi zile tabia
 
Huo ndo ukweli mkuu. Ila wazazi hawataki kusikia haya, utasikia "zaa wako tuone". Kwa hiyo na sisi tumeamua tusubiri 'tuzae wetu tuone'.
 
Bhasi Una moyoo wa tofauti sanaa aisee...!! miaka 12 anaelewa ninii anafanyaa so kukwambia vile alikuwa Ana maanishaa... Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…