Tabia za Ajabu za Watoto

Una stahili kua super woman
Inaonekana hata kwenye life huna kinyongo
 
Ila pia vitoto vya dar vinaongea jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta kadogoo kanaongea kila kitu
Vingne vinakatikaa Zile nyimbo za Vigodoroo balaa... Siku ioo nlikuwa natoka chuo bhana nkakuta mahali walee wapiga ngoma za Vigodoro wanapitaa Aiseee kuna mtoto haizdi miaka 5 lakini alikuwa kabinukaaa kiuno juu anakatikaa...Nilikaangalia kakacheka Sana huku kanakatikaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Halafu utakuta wamama wamekaa hapo nje wanakaanga chips za jerojero za kufunga kwenye nylon. No one cares, so pathetic. Ukivigusa utachambwa mbaka babu zako wa 17th century.
 
Halafu utakuta wamama wamekaa hapo nje wanakaanga chips za jerojero za kufunga kwenye nylon. No one cares, so pathetic. Ukivigusa utachambwa mbaka babu zako 17th century.
[emoji16][emoji16][emoji16]Alafu kesho ameishia la sabaa kapata mimba unatafuta mchawi...!! Ofcoz kulikuwa na wamama wamekaa pembeni wanachek tuu
 
Hahaha, pamoja na utundu kuiga iga kwa watoto wengine pia

Yaani utotoni kuna kujaribu jaribu vitu, halafu nadhani labda nilikuwa na hisia hiyo kitu inafanya kazi zaidi ya kujojoa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe inaelekea ulianza kuwalaa mapemaa
 
Swadakta, binafsi mtoto wa hivi nampenda sana
Umenikimbusha mdogo wangu alikutwa anachora ukuta wa nyumba, Mama akamaind akamlamba banzi la maana then akamwambia akatafute maji afute. Dogo akakimbia ndani akachukua maji akaanza kufuta, maji yakaisha but alama zilikuwa zinaonekana akafata tena maji akaja akasafisha hadi pakawa safi. Alipomaliza akaenda kumwonyesha mama kuwa tayari. Nilivutiwa sana, muda huo alikuwa na miaka miwili. Ni msikivu sana huyu dogo, ila anachonikera ni tabia yake ya kuogopa mijusiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Now niko likizo wengine wote wako shule sasa kanifanya mimi kuwa bodyguard wake, akiona mjusi anakuita ukafukuze, bila hivyo hapakaliki, full kulialia.
 
Bhasi Una moyoo wa tofauti sanaa aisee...!! miaka 12 anaelewa ninii anafanyaa so kukwambia vile alikuwa Ana maanishaa... Duuh
yeah, Najua alikuwa anamaanisha kabisa na mama yao Nilimwambia hajachukua hatua yoyote, kwa vile Nilikuwa mpitaji tu, sikuona shida kuvumilia... Niliuchuna na maisha yakaendelea
 
Una stahili kua super woman
Inaonekana hata kwenye life huna kinyongo
Sijawahi kuwa na kinyongo kabisa, sasa hivi ni wakubwa eti, na wakijaga kwangu wanajuaga nawapenda nipo radhi niwaridhishe wafurahi ila me nikose.... Najuaga labda ulikuwa utoto. Na sasa nisipoenda kwako ntapigiwa cm na wanalalamika kabisa Mbona hauji kwetu.. Watoto bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Walivosema hivo wazazi wao walisikia ? Na wifanya nini baada ya kusikia
 
MSIWASEME HAO WA MBALI KUNA HAWA WAPUMBAVU WANAREKODI UJINGA WA WATOTO WAO...WENGINE WANAWAULIZA MASWALI YA KIJINGA ILI WAJIBU UJINGA WAFANYE IWE FUN KWENYE SOCIAL METWORKS...WENGINE WANAWAREKODI WATOTO WAO WAKICHEZA WAKIKATA MAUNO...NA KUTUPIA MITANDAO...SASA SIELEWI WHAT THEY GET IN RETURN...

HII TABIA ILIKUWA INANIKERA SANA...JAPO WENGI WETU TULIKUWA TUSHARE KUIFANYIA MIZAHA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…