Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Una stahili kua super womanMimi kuna watoto wa dada anguu. Walinambia usiwe unakuja kwetu unatumalizia chakula, na Kuna Kipindi Nilikuwa Mgeni nikafikia kwao, walinambia toka kwetu hatutaki wageni, walikuwa wakubwa tu Kama 10yrs na mwingine 12years hivi...
Asa hivi namaisha yangu,
Sasa hivi ni wakubwa. Na nawapenda.. Ila hizo tabia sijui Kama bado wanazo
Na wanapenda Kweli kuja kwangu coz Kuna zawadi nawachukuliaga wakija wanazikuta. Kuna mda Nacheka na kusema sijui walipataga wapi zile tabia
Inaonekana hata kwenye life huna kinyongo