Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

Tabia za mabinti wa kinyiramba wa kizazi hiki cha 2000

Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina

Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya nyege..

Ndugu kabla sijamfungia ndani naombeni mnijuze tabia za hawa wasichana wakinyiramba waliozaliwa miaka hii ya 2000

Asanteni
Wanagawa sana sukari
 
dah, aisee, wanyiramba gani unawaongelea hao weupe? usichanganye na Wanyaturu ndugu. ulishawahi ishi singida?
Ina maana hata Dr. Mwigulu humuoni? Wanyiramba nawajua vyema. Nikiweka kwa asilimia kwa maoni yangu weusi 15%, maji ya kunde 50% weupe 35%
 
Back
Top Bottom