Unamanisha avae kaptura au? Maana suruali ni suruali na ni ile inayofika chini kwenye visigino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaaaani binam bora uniadhibu wewe kuliko kumwambia shangazi si unajua jinsi alivyo mwaya.
Ukimwambia atanisemaje my dear. Lol.
[emoji7]
wew ni me au Ke huku unawapondea wanaume wembamba wana vikalio vigumu
kule unawakandia wadada wanaowapa watoto wao majina ya kwenye movies
sikuelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mungu anakuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kupenda vibonge kwangu imegoma, nyingine zote ni sahihi.
Hivi utaamini nilitaka nikutag muda nimeona huu uzi mana najua tu na wewe ni mwembamba. [emoji85][emoji85]
Avatar zako hizoo.
Binamu. [emoji848][emoji848][emoji848]
#7. Lol
Venye naona wanaume warefu wakijimwambafai kwenye huu Uzi..[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wana vitako vigumu afu vina vipelepele.
Nimeambiwa tu jamani hapa.
Mashine kubwaZa wanawake wembamba weka