Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] Kagame product.. Mwembamba ..mrefuHivi utaamini nilitaka nikutag muda nimeona huu uzi mana najua tu na wewe ni mwembamba. [emoji85][emoji85]
Avatar zako hizoo.
Hebu hukoo. 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Uwiiii!! Unenepage sasa mana mwishowe utakuja angushwa na upepo. Teh teh.
na shida hizi kunenepa n dharau ... [emoji6] hivi Dp n ww..haijawah badilika hata mara mojaUwiiii!! Unenepage sasa mana mwishowe utakuja angushwa na upepo. Teh teh.
We ziweke chini hizo shida upate nenepa.na shida hizi kunenepa n dharau ... [emoji6] hivi Dp n ww..haijawah badilika hata mara moja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanao.. gerarahiaaaaWe ziweke chini hizo shida upate nenepa.
Unataka niwe nabadilisha badilisha kama wewe mana naona ya pili hiyo sijui ya tatu kila ukichange zinafanana. Ni mwanangu wa kwanza huyo. [emoji1787][emoji85]
😂😂
Hujawaza nyuma ya Pazia huenda kakataa sababu ya hizi fake Ids?Mana hata ningekuwa mimi ningeruka futi mia.
Binamu MzaramoTz imebidi ujikatae tu. 😅🙈🙈
Vp bro.Una jiuza au
Anaponenepa tabia zinakuwa zipi?TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA:
1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu)
2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi
3. Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake
4. Ni mwenye mawazo mengi halafu ni muongomuongo na uwa ni mcheshi sanaa ana uwezo wa kumfanya mpnz wake akae anacheka muda mwingi
5. Ana huruma na utu wakati mwingi hujiamini na ni mwenye hasira za haraka
6. Huwa akubali kushindwaa na hupata mafanikio makubwaa na wakati mwengne uwa mvivu nakuwa kama kapoteza muelekeo
7. Mara nyingi uwa ni mtoto wa kiume wa kwanzaa kwenye familia yake
8. Hupenda mawasiliano na ukalibu na mpnz wake na uwa anawivu sanaa
9. Hupenda uhuru katika mapenzi,na wakati mwingne sio mtu wa kutegemewa maana ni kigeugeu
10. Uwa ana maamuzi ya ghaflaa na upenda mageuzi ya haraka sanaa
Hizo ndo tabia za mwanaume mwembamba na wewe niandikie za kwako unazozifahamu hapo chini.
Kama kuna niliyosahau niambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wana vitako vigumu afu vina vipelepele.
Nimeambiwa tu jamani hapa.