Tabia za mwanaume mwembamba

Tabia za mwanaume mwembamba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanao.. gerarahiaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
50 cent.gif
 
Hujawaza nyuma ya Pazia huenda kakataa sababu ya hizi fake Ids?Mana hata ningekuwa mimi ningeruka futi mia.

Binamu MzaramoTz imebidi ujikatae tu. 😅🙈🙈

Yaaani na ndio raha ya JF hii binamu yangu mie.

Ila mi najua zile nyingine unazo wee mwenyewe utalinganisha halafu utasema kama ni kweli au si kweli Nam yangu mie.

😍
 
TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA:

1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu)

2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi

3. Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake

4. Ni mwenye mawazo mengi halafu ni muongomuongo na uwa ni mcheshi sanaa ana uwezo wa kumfanya mpnz wake akae anacheka muda mwingi

5. Ana huruma na utu wakati mwingi hujiamini na ni mwenye hasira za haraka

6. Huwa akubali kushindwaa na hupata mafanikio makubwaa na wakati mwengne uwa mvivu nakuwa kama kapoteza muelekeo

7. Mara nyingi uwa ni mtoto wa kiume wa kwanzaa kwenye familia yake

8. Hupenda mawasiliano na ukalibu na mpnz wake na uwa anawivu sanaa

9. Hupenda uhuru katika mapenzi,na wakati mwingne sio mtu wa kutegemewa maana ni kigeugeu

10. Uwa ana maamuzi ya ghaflaa na upenda mageuzi ya haraka sanaa

Hizo ndo tabia za mwanaume mwembamba na wewe niandikie za kwako unazozifahamu hapo chini.

Kama kuna niliyosahau niambie


Sent using Jamii Forums mobile app
Anaponenepa tabia zinakuwa zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom