Tabia za mwanaume mwembamba

Tabia za mwanaume mwembamba

Point ziko mule mulee
♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..

♧ Siyo watu wa show off.

♧ Low profile type.

♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.

♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo

♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..

♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..

Sent using Samsung S6 Edge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point mule mulee

Mwanaume unakosaje sasa kamwili ka kumkumbatia bebe[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Back
Top Bottom