Tabia za mwanaume mwembamba

Tabia za mwanaume mwembamba

♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..

♧ Siyo watu wa show off.

♧ Low profile type.

♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.

♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo

♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..

♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..

Sent using Samsung S6 Edge
👣👏👏👏👏👏 umemaliza
 
Acha kukopi maandiko ya wazungu na kutuletea Afrika, Mimi nilikuwa mwembamba wakati nasoma nilipomaliza shule ya elimu ya juu nikaanza kupata pesa nikajikuta nanenepa na hadi Leo ule wembamba wa miaka ya enzi za Mwinyi na Mkapa sina tena, hata mapenzi hayanisumbui najua kupenda hadi michepuko hainiachi
Hahaha nimecheka Sana aisee...hakuna mtu mwembamba ati???
 
♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..

♧ Siyo watu wa show off.

♧ Low profile type.

♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.

♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo

♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..

♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..

Sent using Samsung S6 Edge

Fact mkuu yaani umenigusa
 
Back
Top Bottom