wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k.
Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea kuwaita wambulu kutoka Manyara na Warangi wa Dodoma, Ni pisi zilizonyooka kwa rangi, shape mpaka sura. Halafu hizi jamii zote tatu zimejazana mno Arusha kuliko Dsm, Ndio maana Arusha nayo inasifika kwa pisi kali. Kama wataka pisi kali bila kujali vigezo vingine, hii ni next level.
Wife Material – Unapozungumzia suala la kufungua rasmi ukurasa mpya wa Maisha ya ndoa, Wahehe na Wabena wana kiti chao maalum, Shuhuda zipo kibao zilizowafanya mpaka wanyakue hiki kiti, ni wavumilivu katika shida, Kwao mume ana thamani kuzidi mali, Kujishusha kwa mme, na sifa nyinginezo kedekede.
Kutoa support ya kutafuta pesa – Nimeshaona kwa macho yangu haya mambo wala sisimuliwi, Wakinga nawapa moja kubwa sana hapa, Yani mtaenda bega kwa bega mnashinda wote dukani asubuhi mpaka usiku hata kama biashara ina misuko suko ama umefulia, kwa mbali wanafanana na majirani zao wahehe / wabena ila hawa ni version ya kibiashara zaidi, hakukimbii duka likifilisika mtaanza from scratch, hakuna malalamiko ya kula viazi mwaka mzima mchana ni bega kwa bega, Ningewaweka na wachaga ila huwa wanabadilika pesa ikiisha.
Mapishi na utundu – Sifa zao zimetawala kila pande yan chi, ni kina nani zaidi ya wanawake wa kitanga ? wacha kabisa, Wnafunzwa toka utotoni kujua kumhandle mwanaume kwa silaha kuu mbili, Kumlisha na awe na hamu ya kula ten ana tena, Upande wa chakula hesabia umevuta jiko nap engine ndiko msemo huo ulikotokea, Upande wa pili ni kujua kum tune mwanaume kuanzia kumdekeza, maongezi na manjonjo kibao bafuni mpaka kitandani. Siwezi zungumza sana kiufupi wanajulikana.
Siri + Ulinzi (Ride or die) – Siri inaweza isivuje hata kwa wazazi wako ni suala la kuwa mwaminifu tu, Kutoka kanda maalum nawatambulisha kwenu wakurya, siri zako zipo sealed hasa hizi ambazo hupendi wengi wazijue, suala la ulinzi Kama wewe ni kibaka goigoi unaesubiria kina baba waondoke majumbani uende kuiba kirahisi kwa kuwatisha kina mama waliobaki chunguza sana kama mwanamke anaebaki ni mkurya, waweza shangazwa !! Mbali na ulinzi wakurya wanasifika kwa kuwa daraja la pili kwenye wanawake loyal na wavumilivu wanaodumu kwenye ndoa nyuma ya daraja la kwanza wahehe na wabena
Malengo / Planning - natoa tahadhari mapema hakikisha huna matatizo ya kiuchumi, mnafanya kazi pamoja kama partners sio kumfanya yeye awe chini yako na pia matunda yawe yenu wote usianze mambo ya kujifanya kisa wewe mwanaume basi vitavyopatikana viwe vyako, Kutoka kanda ya kaskazini mabibi na mabwana nawatambulisha wachaga, Kina Manka hao, Ni wanawake ambao mkihustle pamoja mnaweza kukuza biashara ama miradi yenu mkafika mbali mno, pia kuna advantage ya kisomo na connections ambayo ni kama greese kwenye vyuma.
Career couple - Je umeajiriwa na unatafuta mwenzako mtaeendana na kuelewana vizuri kwenye maisha ya ajira hasa za serikalini, Nawatambulisha kwenu Wahaya , Yale mambo ya kutingwa na kazi wanayaelewa, wanafurahia kuwa na mtu aliesoma (nshomile) na akaajiria, mnasapotiana kwenye careers zenu na hata kuhamasishana kusoma zaidi kuongeza cv.
Mama wa kanisani - Na wala sio hata siri kwamba mkoa unaoongoza kwa makanisa ni Mbeya hasa ya kilokole , Moravian na Lutheran, Wanyakyusa ndio wahudhurijaji wakuu na kwenye haya makanisa karibu 80% huwa ni wanawake, Kwenye suala la maombi na gospel sijui ni kipi zaidi unachotafuta