Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

S
True story; mwaka 2011 binti mmoja aliolewa na jamaa mmoja 'handsome sana' kijana mtulivu asiye na mambo ya michepuko kabisa
Huyu jamaa alikuwa na jamaa yake mmoja walikuwa hawaachani they were more than best friends, kwahiyo hata ilipotokea kutokuelewana ndani ya nyumba jamaa ndio aliitwa kama msuluhishi
Siku moja mwaka 2013 binti akawa anaenda kwenye kikao mahali nyumba akimwachia mumewe na shemeji naye alikuwepo
Akiwa keshapanda bus akapigiwa simu kwamba kikao kimeahirishwa hivyo hakuwa na namna zaidi ya kushuka na kutafuta usafiri wa kurudi nyumbani, kufika hm akaingia moja kwa moja sebuleni mlango ulikuwa umeegeshwa tu lakini hakuona mtu hivyo akaongoza chumbani...
Ni huko chumbani alimkuta mumewe wa ndoa anapumuliwa kisogoni na yule best friend wake...binti alizindukia hospitali na kwa miaka miwili mfululizo hakuwa sawa kabisa
Ndoa ile ilivunjika lakini huyo jamaa kaoa tena na mkewe wa sasa inasemekana anaijua fika tabia ya mumewe lakini kaikubali
Huyo jamaa ni mc maarufu sana na FB hakauki

Aisee kwahiyo dem analiwa na jamaa analiwa asee 🙁
 
Daaa!! Hakuna kitu nachokijali kama furaha yangu. So kama nikakuta tabia ambayo siwezi kuvumilia huko ndoa ....am sorry God but she has to go no.matter what...najua imeandikwa mpk kifo kitutenganishe but kwahili wacha aende ....aiseee napenda amani ya moyo wangu na furaha yangu kuliko chochote kile..kamba ambavyo imeandikwa atakata yale matawi yaliyokauka ya.mti ule abaki na yaliyochepuka...nami sitasita kukuacha mybaby kokote uliko..au ntasepa tu usinione tenaaaa
 
Tatizo umbea kwa wanawake uko ktk DNA zao!! Hapa kwa hawa wenzetu tukubali tu kuwa hii ni sifa yao ya kibayolojia. Wanawake wote ni wambea!
Labda zamani, sasa hivi wanaume ni wambea kupindukia. Mimi aslimia 99% ya habari za kishilawadu zinazonifikia zinatokea kwa wanaume mpaka huwa najiuliza maswali magumu. Wanaume mmekuwa wambea sana siku hizi mjirekebisha kwa kweli!
 
Kwanini lakini watu wakiambiwa mambo yao kwa ukweli , basi wanaona wale wanaosema ni wambea? Maana nilidhani labda wangechukua hiyo changamoto kujirekebisha tabia zao mbaya kwenye jamii kusudi sifa zao njema zienee kwenye jamii , na sio sifa za kijinga alafu wanawaona watu wambea,
 
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Hii pia inatokana na watu kutokubali kuskia ukweli!
Binafsi imewahi kunitokea kumpenda binti flan na kumwambia a2z kuhusu mimi baada ya hapo zarau zilizofata sitakaa nisahau,
Lakini ukiwadanganya utafurahia mapenzi ndani ya ndoa itajulikana hukohuko!
Pole sana,inaonesha mwananke akikujua ni shida mno!
 
Sijasema uwahi wala uende kwa pupa. Kuna tabia hauwezi kuzigundua bila kuishi na mtu, haijalishi mtadumu kwenye mahusiano kwa muda gani.

Hili nakubali 100%. Kuna mama nilikuwa naipenda mno kabla sijaishi nae tukapendana sana pia na kuniita pet names mara we HB n.k!
Akapendekeza tuishi wote baadae nikaridhia ni shake well before use. Kuishi nae mwanzo ilikuwa raha mno. Sio mawivu hayo alikuwa nayo akikuta na chat na rafiki yeyote wa kike...Atalalamika mno na ilinipa shida but nilimtuliza nafsi mapenzi yakasonga.

Mawasiliano yalikuwa ni full time kupigiwa kuwa im missed nami nilifanya hivyo pia. Huduma zote napewa bila excuse, mama anafua,anapika tunakula,mtoto usafi wa mwili na mazingira ndio usiseme, game ilikuwa nikitekenya ziwa tu mtoto katepeta.
Mama alikuwa na adabu na msikivu ajabu haskii haambiwi mpaka nikawaza mke wa kuoa si ndio huyu jamani. Alikuwa ananijali hamna mfano kwa hali na very supportive. Haiba ya upole na aibu haikuwa kificho na hakika alijua kukirimu wageni wangu mno. Nikashukuru sana mungu. Kifupi niliinjoy mapenzi awamu ya kwanza.l9

Tulikuwa separate kwa miezi km 6 hivi. Kurudi mambo yakawa tofauti. Mawasiliano yalianza kupungua taratibu. Nikaanza ona rangi zake sasa, licha ya mazuri yote mwanzo mama akaja kuwa mbinafsi ajabu. Anataka umfanyie cares ila ye kwake ni kama ananifanyia favor kunijali.
Yeye ndio akawa anajipa priority zaidi kwa kila jambo. Gubu ndio kila saa yani ikawa kero sasa, kila nifanyalo lazma akandie akawa kama mpinzani wangu na si mpenzi tena.
Sex hakuna tena excuse za ubize na ukipewa ni kama unagonga jiwe. Anaanzisha ugomvi wa kijinga tu usio na maana kila dakika mtoto kiburi kimemjaa na nkimwambia ukweli anadai nalalamika sana...

Mwishowe nkaona isiwe tabu, kama mapenzi ni furaha kwanini nivumilie nikajiengua zangu. Pata picha halisi umeoa mwanamke wa hivyo kwa kurupuka itakuaje??? Kuishi na mwanamke ni muhimu mno kabla hujaoa???
 
Tulikuwa separate kwa miezi km 6 hivi. Kurudi mambo yakawa tofauti. Mawasiliano yalianza kuungua taratibu. Nikaanza ona rangi zake sasa, licha ya mazuri yote mwanzo mama akaja kuwa mbinafsi ajabu. Anataka umfanyie cares ila ye kwake ni kama ananifanyia favor kunijali.
Yeye ndio akawa anajipa priority zaidi kwa kila jambo. Gubu ndio kila saa yani ikawa kero sasa, kila nifanyalo lazma akandie akawa kama mpinzani wangu na si mpenzi tena.
Sex hakuna tena excuse za ubize na ukipewa ni kama unagonga jiwe. Anaanzisha ugomvi wa kijinga tu usio na maana kila dakika mtoto kiburi kimemjaa na nkimwambia ukweli anadai nalalamika sana...

Mwishowe nkaona isiwe tabu, kama mapenzi ni furaha kwanini nivumilie nikajiengua zangu. Pata picha halisi umeoa mwanamke wa hivyo kwa kurupuka itakuaje??? Kuishi na mwanamke ni muhimu mno kabla hujaoa???
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Hili nakubali 100%. Kuna mama nilikuwa naipenda mno kabla sijaishi nae tukapendana sana pia na kuniita pet names mara we HB n.k!
Akapendekeza tuishi wote baadae nikaridhia ni shake well before use. Kuishi nae mwanzo ilikuwa raha mno. Sio mawivu hayo alikuwa nayo akikuta na chat na rafiki yeyote wa kike...Atalalamika mno na ilinipa shida but nilimtuliza nafsi mapenzi yakasonga.

Mawasiliano yalikuwa ni full time kupigiwa kuwa im missed nami nilifanya hivyo pia. Huduma zote napewa bila excuse, mama anafua,anapika tunakula,mtoto usafi wa mwili na mazingira ndio usiseme, game ilikuwa nikitekenya ziwa tu mtoto katepeta.
Mama alikuwa na adabu na msikivu ajabu haskii haambiwi mpaka nikawaza mke wa kuoa si ndio huyu jamani. Alikuwa ananijali hamna mfano kwa hali na very supportive. Haiba ya upole na aibu haikuwa kificho na hakika alijua kukirimu wageni wangu mno. Nikashukuru sana mungu. Kifupi niliinjoy mapenzi awamu ya kwanza.l9

Tulikuwa separate kwa miezi km 6 hivi. Kurudi mambo yakawa tofauti. Mawasiliano yalianza kupungua taratibu. Nikaanza ona rangi zake sasa, licha ya mazuri yote mwanzo mama akaja kuwa mbinafsi ajabu. Anataka umfanyie cares ila ye kwake ni kama ananifanyia favor kunijali.
Yeye ndio akawa anajipa priority zaidi kwa kila jambo. Gubu ndio kila saa yani ikawa kero sasa, kila nifanyalo lazma akandie akawa kama mpinzani wangu na si mpenzi tena.
Sex hakuna tena excuse za ubize na ukipewa ni kama unagonga jiwe. Anaanzisha ugomvi wa kijinga tu usio na maana kila dakika mtoto kiburi kimemjaa na nkimwambia ukweli anadai nalalamika sana...

Mwishowe nkaona isiwe tabu, kama mapenzi ni furaha kwanini nivumilie nikajiengua zangu. Pata picha halisi umeoa mwanamke wa hivyo kwa kurupuka itakuaje??? Kuishi na mwanamke ni muhimu mno kabla hujaoa???
Kesi km yangu
 
Kweli kabisa.
Na vile vile namna pia ya kuepukana na hizi drama ni vema kabla ya kuanza kudate lazima muwe karibu au muwe na mazoea
Yaani kila mmoja awe anamfahamu vema mwenzake katika hali ya kawaida....

Mnapokuwa normal friend ni rahisi zaidi kumfahamu mtu kwa vile anakuwa hajifich au hafich Tabia zake.

Ukianza kwa kumuoneshea nia yako. Lazima atajibadili meinendo Yake ili aonekane Si tatizo....

Couple za best friend au watu waliowahi kuishi kama marafiik Wa kawaida kwa muda mrefu nadhani changamoto kama hii kidogo inapungua. Kwa vile mnakuwa mnafamiana A to Z....
kweli kbsa
 
Back
Top Bottom