Tabiri nani atashinda katika nafasi hizi baada ya ya Kombe la Dunia kuisha hii leo?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi?

1. Mfungaji Bora
Hadi saa hizi
Messi=5goals
Mbappe=5goals
Giroud=4goals
Alvarez=4goals
2. Goli kipa Bora
Martinez=3 Clean Sheets,Conceded 4 goals
Yassiene Bounou=4 Clean Sheets,Conceded 5 goals
Hugo Lloris=1 Clean sheets, Conceded 4 goals
3. Kinda Bora Wa Mashindano
Enzo Fernandez=🇦🇷
Jude Bellingham=🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Josko Gvardiol=🇭🇷
4. Top Assistman
Messi=3Assists
Griezman=3Assists
Mbappe:2Assists
5. Mchezji Bora wa Mashindano
Messi🇦🇷
Mbappe🇫🇷
Griezman🇫🇷

#Because I Love This Game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…