Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kocha usiye na leseniFORTALEZA, HIVI NDIVYO ITAVYOKUWA.
1. SimbA SC.
2. NamungO.
3. AzaM FC.
4. Dar Young Africans.
REASONS:
1. SimbA SC, hawajavuruga kikosi chao cha kwanza, kisha wakaongeza wachache wenye uwezo.
2. NamungO pia, Utumiaji mzuri wa uwanja wa nyumbani, pia nitimu inayocheza kwa maelekezo kutoka juu.
3. AzaM FC, wako kimkakati zaidi, naamini wataanza walivyomaliza.
4. Yanga wanahitaji muda zaidi, Maana bado hawachezi kitimu, pia usajili wao ulikuwa wa maruhani, upande ushambuliaji hasa kushoto wako vizuri pia beki wako vizuri sana.
Ila Kiungo hamna kitu, Mukoko ni tozi tu asiyejua mpira.
Ahsante.
Still Out of TopicMaana Yangu, Yanga kuchukua ubingwa au ngao ya jamii sio ishu, Mimi nimeishuhudia Yanga ikichukua Mataji mengi ya apa ndani. Mimi binafsi kusikia Yanga bingwa kwa kikombe chochote Cha apa ndani si shtuki Tena. Ninge pendelea Yanga indelee kujengwa kitaalamu kwa ajili ya kupambana Afrika. Aya mambo ya ubingwa wa Tanzania kwa Yanga ni kwaajili ya heshmaya mashabiki wetu.lakini Lengo liwe mashindano ya Caf Uko ndio kwenye changamoto halisi.
Changamoto ya Yanga ni kimataifa kumbe... sawa mtaendelea kuchezea 4g hapa ndani na huko kimataifa mtaishia tu kuwaona kwenye tv kina Namungo ndio wanaiwakilisha nchi...Yanga kwasasa changamoto zake si vikombe vya Tanzania, Hakuna kikombe chochote apa nchini kinacho simamiwa na Tff ambacho Yanga haongozi kwa kukichukua. Changamoto za Yanga ni kimataifa apa ndani Simba ndio wanatakiwa kupambana kufikia mafanikio ya Yanga.
Kunywa maji mengi wewe mtopolo, unakufa na hasira1. YANGA
2.Yanga
3.yanga
4.lisimba
5.Azam
Kwa kweli litimu letu ni libovu sana.sijui tunakosea wapi.Mkuu mimi ni Yanga damu lakini bado hatuna timu ya kuchukua ubingwa, kwenye ukweli tuseme tu.
Yanga kwasasa changamoto zake si vikombe vya Tanzania, Hakuna kikombe chochote apa nchini kinacho simamiwa na Tff ambacho Yanga haongozi kwa kukichukua. Changamoto za Yanga ni kimataifa apa ndani Simba ndio wanatakiwa kupambana kufikia mafanikio ya Yanga.
Siku moja unaweza kuanguka barabarani ukafa ukipimwa report ya daktari itaonyesha umekufa kwa kuzidiwa na chuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. YANGA
2.Yanga
3.yanga
4.lisimba
5.Azam
Gombe??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa katoroka mbugani
Huo mziki unamfikirisha sana Manara maana kikubwa hapo hana mkwanjaKwa mziki wa Yanga wa jana hakuna mpinzani.