Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya mechi ya ngao ya jamii kupigwa, ni kiashiria tosha kuwa ligi inakaribia kuanza.
Timu zimejiandaa vizuri, kuanzia kwenye usajili wa vikosi vyao mpaka kwenye benchi la ufundi.
Huu ni msimu ambao timu kama Yanga imejiandaa kweli hasa kwenye usajili wa wachezaji wa kimataifa kama vile Mukoko na wengineo, lengo ikiwa ni kufuta ufalme wa Simba, huku Simba nayo ikijiimalisha vya kutosha kama maingizo mapya ya akina Bwalya na Onyango. Azam Fc inakimbiza mwizi kimya kimya, KMC wapi kama hawapo, Namungo ndio kama hivyo ina kikosi kizuri chenye morali. Bila kuwasahau timu kama Polisi Tanzania, Ihefu, Kagera na Mtibwa Sugar.
Tabiri nani atakuwa bingwa na top 4 kwa ujumla.
Kwangu mimi, Bingwa ni Simba Sc kwa mara nyingine. Top 4 yangu ni hii;
1. Simba Sc
2. Azam Fc
3. Yanga Sc
4. Namungo
Karibu na wewe uweke utabiri wako...
HahahaKwa mziki wa Yanga wa jana hakuna mpinzani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]1. Simba
2. Yanga
3. Azam
ulijitahidi mkuu1. Simba
2. Yanga
3. Azam
4.Biashara United Mara
Mziki uliishia wapiKwa mziki wa Yanga wa jana hakuna mpinzani.
Wewe ndio mtaalam sasa achana na hawa wengine1. Simba
2. Yanga
3. Azam
4.Biashara United Mara
Safi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera saaaaaana: umezawadiwa Mirinda nyeusi,nenda kwa mangi nakuja kulipa, naona ulitabiri sahihi1. Simba
2. Yanga
3. Azam
4.Biashara United Mara
Mkeka wako umetoka,tafadhali fika ofisi ya mawasiliano ya Ikulu ili mama akupatie teuzi.1. Simba
2. Yanga
3. Azam
4.Biashara United Mara