Tabiri Top 4 yako VPL

Tabiri Top 4 yako VPL

Top four Msimu huu itakuwa
1. Dar es Salaam Young Africa
2. Simba SC
3. Azam FC
4. Namungo FC
 
Yanga kwasasa changamoto zake si vikombe vya Tanzania, Hakuna kikombe chochote apa nchini kinacho simamiwa na Tff ambacho Yanga haongozi kwa kukichukua. Changamoto za Yanga ni kimataifa apa ndani Simba ndio wanatakiwa kupambana kufikia mafanikio ya Yanga.
Huko kwa kimataifa utafikaje mkuu kama ubingwa wa ligi huchukui wala Azam federation huchukui? Au mnasubiri Simba afike mbali mpate nafasi ya mbeleko?
 
Maana Yangu, Yanga kuchukua ubingwa au ngao ya jamii sio ishu, Mimi nimeishuhudia Yanga ikichukua Mataji mengi ya apa ndani. Mimi binafsi kusikia Yanga bingwa kwa kikombe chochote Cha apa ndani si shtuki Tena. Ninge pendelea Yanga indelee kujengwa kitaalamu kwa ajili ya kupambana Afrika. Aya mambo ya ubingwa wa Tanzania kwa Yanga ni kwaajili ya heshmaya mashabiki wetu.lakini Lengo liwe mashindano ya Caf Uko ndio kwenye changamoto halisi.
Unaugua wewe
 
1.Yanga
2.simba
3.azam
4.namungo
5.biashara
6.kmc


[emoji106]
 
GSM imewasajilia Yanga matatizo kwani ujue mishahara ndio litakuwa tatizo kubwa kwa Yanga.Hela za mishahara watakosa na wachezaji hawataonyesha kiwango
1.Simba
2.Azam
3.Namungo
4.Police Tanzania

Yanga bado inaendeshwa kiswahili sana kama ianze kuimarika kama taasisi itachukua kama miaka 3 na approach ya GSM ya kuwanunulia wachezaji na kuwanunulia wasemaji au wahasishaji wa Timu unaendelea kuibomoa Yanga.

Angalia suala dogo tu kama msemaji wa Timu pale Yanga ni vurugu.Kuna Bumbuli, Baba Levo, Antonio Nugaz na wote hawajui kazi yao. Mwakalebela au Msola ukimuuliza mishahara GSM walikubaliana shs ngapi kwa mwezi hata hawajui na huyo Senzo hana kazi hapo
5.Yanga

Paragraph ya kwanza umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom