Tabiri Top 4 yako VPL

Simba point 90
Yanga point 90
Azam
Mtibwa
Polisi
Namungo
 
Simba Sports Club
Young African
Azam FC
KMC
 
FORTALEZA, HIVI NDIVYO ITAVYOKUWA.

1. SimbA SC.
2. NamungO.
3. AzaM FC.
4. Dar Young Africans.
REASONS:
1. SimbA SC, hawajavuruga kikosi chao cha kwanza, kisha wakaongeza wachache wenye uwezo.
2. NamungO pia, Utumiaji mzuri wa uwanja wa nyumbani, pia nitimu inayocheza kwa maelekezo kutoka juu.
3. AzaM FC, wako kimkakati zaidi, naamini wataanza walivyomaliza.
4. Yanga wanahitaji muda zaidi, Maana bado hawachezi kitimu, pia usajili wao ulikuwa wa maruhani, upande ushambuliaji hasa kushoto wako vizuri pia beki wako vizuri sana.
Ila Kiungo hamna kitu, Mukoko ni tozi tu asiyejua mpira.
Ahsante.
 
Sawa kocha usiye na leseni
 
Still Out of Topic
 
Changamoto ya Yanga ni kimataifa kumbe... sawa mtaendelea kuchezea 4g hapa ndani na huko kimataifa mtaishia tu kuwaona kwenye tv kina Namungo ndio wanaiwakilisha nchi...
 
Utawezaje kwenda peponi kabla ya kufa? Na utawezaje kushiriki mashindano ya kimataifa Kama hujachukua ubingwa? Historia ya nyuma inakupa nafasi gani kushiriki mashindano ya Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…