Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

Inasikitisha sana kuona wingu la chuki na visasi likitanda, mvua yake itakuwa ni damu zisizo na hatia. Mungu epushia mbali.

Hapa Mungu hausiki, ni chuki zetu tu dhidi ya Binadamu wengine. Mungu hakutumi kutumia Mamlaka yako vibaya na kuumiza wengine. Matatizo mengi yana letwa na Binadamu mwenyewe.
 
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu aliyekufa anasaidiwaje? Ama polisi wanaenda mochwari kuchukua taarifa za marehemu ili awataje waharifu? Daah siwahi kuwaza kama una akili ndogo hivi
 
Umeandika vizuuuri umekuja kuharibu hapo kwenye RIP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha, lakini inasikitisha zaidi pale ambapo diwani wa upinzani anapouawa matamko makali kama haya hayapo na juhudi za kuwasaka wapinzani nazo hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…