Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Haki inatendeka. Kama umeamua kutokuona huwezi kuona hata siku moja...acha niwe MjusiMdogo lakini kama HAKI haitendeki lazima tuseme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki inatendeka. Kama umeamua kutokuona huwezi kuona hata siku moja...acha niwe MjusiMdogo lakini kama HAKI haitendeki lazima tuseme.
Inasikitisha sana kuona wingu la chuki na visasi likitanda, mvua yake itakuwa ni damu zisizo na hatia. Mungu epushia mbali.
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu diwani tumeuona ushirikiano wake ndio maana watu 6 wakakamatwa!!Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ni muhimu sana kwenye kisema hoja yoyote ile
mchezo hauhitaji hasira huu...Inasikitisha sana kuona wingu la chuki na visasi likitanda, mvua yake itakuwa ni damu zisizo na hatia. Mungu epushia mbali.
Guruguja hugeuka nyoka...Lissu alipigwa risasi hadharani akiwa kazini akaomba apatiwe huduma za matibabu kulingana na stahiki zake akanyimwa na ubunge akanyang'anywa. Na hakuna anayeshikiliwa kwa kutaka kumuua mbunge.
Diwani leo watu wanashikiliwa duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna wala asiepushie mbali acha chezo liendeleeMungu aepushie mbali kwa kweli!
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha watu waongee haya mambo wanayataka wenyewe kias watu wanaona kawaida sasa kwanza NI WENYEWE KWA WENYEWE KENGE HAO MAANA WAMEANZA KUWAFANYIA WAPINZANI SASA WANAKOMESHANA...MWAKA WA UCHAGUZI HUU.Bwashee jiangalie upelelezi haujafungwa!
Umeandika vizuuuri umekuja kuharibu hapo kwenye RIP.Lakini hebu tuangalie upande wa pili wamelalamika sana lakini hakuna kilicho kuwa kinaendelea chuki IPO juu sana tunao uswahili ndio tunayaona haya lakini kama upon kwenye kiyoyozi taarifa unaletewa tu huwezi jua ila mungu atusaidie tu kuyaepuka haya r.i.p diwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona siyo wa ufipa na hatujalala?..kiandeHuyo diwani angekuwa ni wa ufipa leo tusingelala humu.