Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

Mawazo aliuwawa kinyama Geita hata kuku wa kusingiziwa hakukamatwa, chuki ni mbegu kama upendo ulivyo mbegu ukipanda kimojawapo utavuna kwa wakati wake.

Siungani na wauaji lakini CCM mnahatarisha umoja wa Kitaifa.
Unaweza kuta kauwawa na CCM ili kuwakamata madiwani na viongozi wa Chadema ili wapate pakutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameuawa akiwa Tabora mjini au kijijini Usunga, Sikonge?
 
Endelea kuropoka ropoka tu. Nakuangalia lakini, shauri yako.

Ndio ukweli wenyewe.

Hebu fikiria mauaji ya Alphonce Mawazo huu ni mwaka wa ngapi na haki haijatendeka.

Hivi Mawazo angekuwa mwana-ccm na mwenyekiti wa mkoa wa ccm, Polisi wangefanya hivi wanavyofanya? Sidhani hata kidogo.

Tundu Lissu angekuwa mwana-ccm Polisi wangeonyesha kutokujali? Wanaochekelea unyama ule wasingefuatiliwa? Wanaomtishia wangekuwa huru?

Nchi hii ni yetu sote.
 
..Ndio ukweli wenyewe.

..hebu fikiria mauaji ya Alphonce Mawazo huu ni mwaka wa ngapi na haki haijatendeka.

..hivi Mawazo angekuwa mwana-ccm na mwenyekiti wa mkoa wa ccm, Polisi wangefanya hivi wanavyofanya? Sidhani hata kidogo.

..Tundu Lissu angekuwa mwana-ccm Polisi wangeonyesha kutokujali? Wanaochekelea unyama ule wasingefuatiliwa? Wanaomtishia wangekuwa huru?

..Nchi hii ni yetu sote.
Wewe JokaKuu karibu utakuwa MjusiMdogo. Endelea tu kujifanya huelewi.
 
Inasikitisha sana kuona wingu la chuki na visasi likitanda, mvua yake itakuwa ni damu zisizo na hatia. Mungu epushia mbali.
Leo ndio mnasema Mungu epushia mbali
Mlikuwa humu kuchochea chuki eti wao
Mshahara wa dhambi ni
Tuliwaonya hamkutaka kusikia
Hakuna vita mbaya kama ya chuki
Lissu mliona ni ng'ombe alistahili ila wa kwenu hakustahili
Lipeni maovu yenu
 
Back
Top Bottom