Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga majira ya saa 4:00 usiku na kukutana na mwenyeji wake, ambaye alimtaka aoge dawa maalum kabla ya tiba kuendelea.

Baada ya muda mfupi, alipelekwa makaburini ambapo alilazwa juu ya kaburi na kuanza kuogeshwa dawa. Ghafla, alitambua kuwa haoni nguo zake, saa yake ya thamani, pamoja na fedha kiasi cha shilingi laki mbili na alitelekezwa hapo akiwa utupu hadi wasamaria wema walipomuokota na kumstiri kwa kipande cha kanga.

Akithibitisha tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile, amewataka Watanzania kuachana na imani potofu za kutafuta utajiri kwa njia za kishirikina. Huku akihimiza wananchi kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mwenyezi Mungu badala ya kutegemea waganga wa kienyeji wasiokuwa na uaminifu.

#EastAfricaRadio
1741972278650.jpg
 
#HABARI Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka.

#EastAfricaRadioView attachment 3270549
IQ ndogo sana wabongo sijui shida nini?
 
ndugu zangu shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara ndiko penye utajiri wa kweli na wa uhakika 🐒
 
Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga majira ya saa 4:00 usiku na kukutana na mwenyeji wake, ambaye alimtaka aoge dawa maalum kabla ya tiba kuendelea.

Baada ya muda mfupi, alipelekwa makaburini ambapo alilazwa juu ya kaburi na kuanza kuogeshwa dawa. Ghafla, alitambua kuwa haoni nguo zake, saa yake ya thamani, pamoja na fedha kiasi cha shilingi laki mbili na alitelekezwa hapo akiwa utupu hadi wasamaria wema walipomuokota na kumstiri kwa kipande cha kanga.

Akithibitisha tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile, amewataka Watanzania kuachana na imani potofu za kutafuta utajiri kwa njia za kishirikina. Huku akihimiza wananchi kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mwenyezi Mungu badala ya kutegemea waganga wa kienyeji wasiokuwa na uaminifu.

#EastAfricaRadioView attachment 3270549
Ashukuru karudi na roho yake,angecheza kidogo roho yake ingetwaliwa na hao watesi wake
 
Yaani mkuu wa wilaya anathibitisha tukio hili. Kweli Mkuu wa wilaya hana shughuli za maana na hadhi yake za kumuhusisha nazo? Kuna siku kijana atakufa kwa kupiga punyeto, na mkuu wa wilaya atathibitisha tukio hilo na kututaka wananchi tujiepushe na upigaji wa punyeto.
 
Back
Top Bottom