Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
Waganga wa kienyeji jau sana wanaweza kukufanyia vitu vya aibu na hutabisha kwakuwa unataka kufanikisha jambo lako.. Sasa hapo ni wazi walimlaza uchi kifudifudi na kumuogesha dawa..🥱 unadhani YAS ilisalimika hapo? Unaambiwa inabidi dawa iingie mpaka huku.. Kum be unapigwa cha kati😂🤣🤣🤣..Bro, unataka kusisitiza nini hapo ? ..
🏃➡️🏃➡️🏃➡️