Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

Wajinga hawaishi tangu enzi na enzi.. Imagine tangu enzi za pyramid schemes. Ponze mpaka DECI lakini mpaka leo bado wanapatikana wa kupigwa
 
Hao itakuwa ni wale vijana wa tuma hela kwanamba hii

Maana Sumbawanga wapo wengi saaana πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hana akili, tayari alikua na saa ya milioni halafu anaenda kwa mganga kutafuta utajiri
 
Zingatia haya maneno......BaadaπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏ ya muda mfupi, alipelekwa makaburini ambapo alilazwa juu ya kaburi na kuanza kuogeshwa dawa.
🀣🀣🀣..Bro, unataka kusisitiza nini hapo ? ..
πŸƒβ€βž‘οΈπŸƒβ€βž‘οΈπŸƒβ€βž‘οΈ
 
Elimu elimu elimu
 
Huyo mmzee alivyonyoa tuu nae nitapeli sema kakutana na watoto wa mboka mana wale kwa utapeli ndo wenyewe sasa. Itakua alienda kuoga dawa ili alio watapeli huko atokako wasimtafute. sasa kakutana na wenye kazi yao
 
Baada ya kuona uchawa haulipi umeamua kuwa mkulima wa mboga mboga. Vizuri kabisa
bidii katika elimu, kilimo na ufugaji biashara ndio msingi wa maisha ya familia na ukoo wetu gentleman.

hii ya kuwatumikia wananchi kwa bidii na uaminifu ni Neema na Baraka ya ziada tu niliojaaliwa πŸ’
 
Safi sana mkiambiwa muokoke kwa Yesu Kristo hakuna fedheha kama hizo hamtaki! Bado mnang'ang'ania uchawi na ushirikina! Wajinga ndio waliwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…