Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

🀣🀣🀣..Bro, unataka kusisitiza nini hapo ? ..
πŸƒβ€βž‘οΈπŸƒβ€βž‘οΈπŸƒβ€βž‘οΈ
Waganga wa kienyeji jau sana wanaweza kukufanyia vitu vya aibu na hutabisha kwakuwa unataka kufanikisha jambo lako.. Sasa hapo ni wazi walimlaza uchi kifudifudi na kumuogesha dawa..πŸ₯± unadhani YAS ilisalimika hapo? Unaambiwa inabidi dawa iingie mpaka huku.. Kum be unapigwa cha katiπŸ˜‚
 
Huyo Mzee Nina wasiwasi hata hio SAA anayodai ni ya Milioni alipigwa bei,inawezekana aliuziwa ya 50,000 akaambiwa milioni nayeye akaamini
IPO BEI ZAIDI YA HIYO

OVA
 
Sema mganga anashinda kesi hyo mapema tu πŸ˜„
Nmekumbuka manyaunyau alivyompiga yule mama mamilion mama akashtaki kesi ikaishiaa hewani πŸ˜„
Naona jamaa bado yupo anaendeleza

Ova
 
Hakuna kesi hapo....

Swali hakimu -----uliamini

Aliyeshtaki-----ndiyo

Mganga anakazia----hakimu huyu mlimpa masharti ayatimize hakuyakamilisha πŸ˜„

Ova
HahahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…