Tabora: Baba adaiwa kuchinja mtoto mchanga akidai si wake

Kutelekezwa mtoto gest, Tabora, kumlisha mtoto mdogo uume Tabora, kukata kata watu mapangaTabora, kuua watoto wadogo kisha kujinyonga Tabora. naona shinyanga imehamia tabora na tabora imehamia shy land. Tukio la kinyama sana hilo na huenda mwanaume huyo alikuwa ana matatizo ya mtindio wa ubongo sio bure.
 
Huyo marehemu mtuhumiwa ni bonge la mpuuzi
 
Kauli huzaa matokeo.
Kuna jirani wakigombana utasikia..una uwezo wa kuzalisha wewe?
Hakuna vichaa tunatengeneza vichaa kwa dharau na matendo yetu yasiyojipima.
Yani sijui kwanini ukipishana na mtu kidogo uanze kumtamkia maneno magumu magumu ya namna hii🤦🏽‍♀️

Oaneni na watu ambao hata akikasirika kuna vitu kamwe hawezi kukutamkia!🙌🏾
 
Kauli huzaa matokeo.
Kuna jirani wakigombana utasikia..una uwezo wa kuzalisha wewe?
Hakuna vichaa tunatengeneza vichaa kwa dharau na matendo yetu yasiyojipima.
Kaka hapo tegemeen mauaji siku yoyote kwa kaul kama hizo kumtakia mwanaume n hatari sana

Ikiwezekana toen taarifa mapema maeneo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…