Tabora: Baba adaiwa kuchinja mtoto mchanga akidai si wake

Host host
Mkuu why unakua hvi mkuu...

Mi sitoenda kukaa mikoa ya bara mkuu bora niende masasi tu
"Fanya wema bila kusita, kama vile mvua inavyonyesha dunia bila ubaguzi"

Mkuu, kumbuka upo kwenye research, unatafuta kijiji cha kujituliza 😀
 
Kuchapiwa kunauma sana ila sasa hunyu ngosha mwenzangu hakutakiwa kufikia kuua kiumbe angetafuta nae ka binti kabichiiii akajiolea akaachana na huyo malaya akafie mbele huko.Sasa kajiua sababu ya k
 
Bunzali Jidola (30), mkazi wa Kijiji cha Imalanguzu, Igunga mkoani Tabora, anadaiwa kumchinja na kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili kwa kutumia kitu chenye ncha kali, kumjeruhi mke wake, na kisha kujinyonga.
×× Ongezea na wengine...

Sisi wanaume ni watu wa kutangulia, tuleni maisha 😀 😀
Hii ni Kweli??🤔🤔
 
Mara nyingi Mwanaume hawezi kutuhumu Tu bila sababu, tayari kuna kuwa na viashiria na kama mnavyojua Mwanamke akishakuwa hakuheshimu anakujibu anavyotaka huku wewe ukiwa na hasira zaidi ya Simba wa Nyikanni
 
KUchapiwa kunauma sana ila sasa hunyu ngosha mwenzangu hakutakiwa kufikia kuua kiumbe angetafuta nae ka binti kabichiiii akajiolea akaachana na huyo malaya akafie mbele huko.Sasa kajiua sababu ya k
Kujua ni jambo baya sana, lakini inauma mno pale unapolala unakesha usiku kucha unabembeleza Mtoto na kwsho unaamkia kazini, huku Mke akujua kabisa Mtoto si wako na Njemba imetulia Tu imerelax
 
Uyo fala kweli sasa mtoto anakosa gani, angedeal na mke wake alietembeza utamu huko nnje ya ndoa
Huyo jamaa inaashiria Anaendeshwa na Nyege na Mke wake anajua vizuri kwamba huyu ni boya kwenye maswala ya Mbunye, na hapo aliamini huyo Mtoto akifa yeye ataendelea kula utamu kwa Mke wake😆😆
 
Kule Mafunzoni kambi ya kiumeni tunaelekezwa kuwa, mwanamke akikuchokoza kwa makusudi usipoteze hata seli moja ya mwili kukasirika au kutumia misuli yako ya kazi za mwili kumshambulia.

Kusanya vitu vyako muhimu ondoka bila kuaga nenda makazi mapya tafuta mali mpya maisha yaendelee.
 
Kujua ni jambo baya sana, lakini inauma mno pale unapolala unakesha usiku kucha unabembeleza Mtoto na kwsho unaamkia kazini, huku Mke akujua kabisa Mtoto si wako na Njemba imetulia Tu imerelax
Hili swala wanawake wawe na huruma na sisi.Mtu anaenda kukojolewa na mwanaume mwingine na akirudi na ww anakupa na some time anakuambia na hamu uninyonye huku anajua kabisa anamanii za jamaa unanyonya na bado anabeba mimba ya jamaa na anakusumbua kuilea mpaka anazaliwa mtoto harafu mtoto sio wako inaumiza mno....Wanawake wawe na huruma na sisi.
 
Mwanamke akikusumbua sana ana ahamu chill kwanza subiri kama wiki mbili au tatu mbele, usiingie kichwa kichwa hata kama Mke wako
 
Chanzo cha tukio ni mwanamke kucheat kwa mwanaume mwingine,
Yani kutoka nje ya ndoa,

Ni kweli huyo jamaa kafanya ukatili sana ila hayo ni matokeo baada ya tatizo,
Root cause ni mke kucheat,so tusielekeze lawama kwa huyo jamaa peke yake tu.
 
Jamaa hajamtendea haki huyo malaika. Sema huyo mwanamke naye ni shetani anayestahili adhabu kali sana. Haihitaji uchunguzi kujua kuwa huyo mwanamke alikuwa akimdharau jamaa enzi za uhai wake. Ingekuwa vyema kama jamaa angechinja hiyo mama kabla ya mtoto kuzaliwa.
 
Nyie jamaa mnapenda Sana kuchinja chinja
 
Niceboy will always suffer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…