TABORA: Mtu mmoja afariki baada ya kupokonywa hirizi zake

Hivi hao Askari huwa hawajui hirizi huwa ni bima ya afya ya kiasili kabisa!! Wamesha mchomoa betri mtu wa watu😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani..nacheka siyo kwamba yanafurahisha.

R.i.p
 
Mtoa uzi anaye ripoti tukio hili ni Askari polisi. maelezo yake tu yanathibitisha.
 
Watanzania sio wajinga
Shida ya watu wenye mamlaka wanajua bado wanaishi na watu wenye akili ya 1950 ambao wengi hawajaenda shule. Sasa hivi Tanzania imebadilika sana mpaka ufikie hatua ya kumdanganya mtu inabidi ujipange sana.
Kwa hawa askari na wanajeshi wetu wa Afrika. Umchanie nguo au umtukane siyo rahisi kukuacha hai hata akikuacha lazima akuachie kilema.
POLISI + MWANAJESHI ADUI YAKE NAMBA MOJA NI MWANANCHI
 
Polisi wajue Watanzania sio wajinga kiasi hicho.

............Ifike mahali waache kupiga watuhumiwa hadi kuwasababishia vifo, hirizi haiwezi sababisha kifo hata siku moja.
 
Hakuna cha hirizi wala mavi ya kuku kapigwa na Polisi huyo wanamtafutia sababu.
kumchania sare afande...huyu atakuwa amekula kichapo heavy MPAKA akaona nyota.
Na Ni sawasawa, huwezi kuwadharau makamanda wetu namna hiyo...unawachania ngu????!!!!!
 
Inamaana alivyochana gwanda hakufanywa chochote? nahisi alipewa mkong'oto hawezi kuchana akaachwa tu! Hirizi is by the way ila watakuwa walimwonyesha cha mtema kuni.
ha ha ha ha ha ha mtema kuni alafu ni mtu wa huko huko tabora
 
neno kuporwa limetumika vibaya kwenye story, hakuna uwiano wa kisarufi. Polisi walichukua ndumba zake...hawakupora.
 
I DOUBT HUYU ALIKUWA NI JAMBAZI HATARI SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…