Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Sikiliza video ..

Nani ametoa maagizo ya Mrdt kits kutumika utajua ni Medical incharge.

Nadhanj yeye ndo yuko kwenye shida kubwa kuliko hata Huyo Nurse.

Ndo maana anamuuliza huyo jamaa choko kamuulize incharge ina maaana tamko la kutumia lilitoka Je kwanjni incharge aruhusu mrdt kutumika ilhali anajua Zimexpire kingine huyu jamaa ni choko maana anaendeleza ligi za Kishamba alishindwa kumwambia incharge atumii
 
Kingine dawa zote za serikali zina chapa ya msd so sio rahisi kutumika kwenye maduka ya dawa kama unavyoengea wewe
 
Ila wafanyakazi wa idara za afya na elimu sijui kwanini wanapenda kuishi kwa fitina na majungu sana?! kama hujawahi kuona au hujui nini maana ya fitina na majungu ingia kwenye idara hizi ndio utaelewa.
Wengi huwa ni wale wasongo shuleni na wakiingia kwenye hizi profession wanakuwa desperate na kubaki kuwa vituo vya majungu na umbea
 
La msingi kwetu ni taarifa imetufikia kama walaji, hayo ya kwao hayatuhusu, unadhani aliyerekodi ni mwenda wazimu hajui anachokifanya, hajui hizo Ethics. Yeye amemweleza ambaye anahusika na utoaji wa hivo vifaa, anaendaje kwa Incharge ili hali yeye kapewa kutoka phamacy. Tanzania tunatatizo la kutotaka kukubali ukweli na wengi tunataka kufanya kazi kwa kujipendekeza. Huyo aliyerekodi video namsifu haijarishi atapitia machungu gani lakini atakuwa ameokoa kina mama wajawazito na watoto wao kwa maelfu, ambayo pengine wangekuwa diagnosed with wrong results. Asante waziri Ummy Kwa kumsifu mtoa taarifa na kuahidi kufuatilia. Na unajuaje kama ni mtu wa system alikuwa hapo kwa kazi maalumu, wewe endelea kubwabwaja hapa na kumuita choko.
 

Analindwa na sheria ya whistleblowers. Hapo kaonesha uozo uliopo kwenye taasisi za afya kwa kuonesha matumizi ya vipimo vilivyoexpire.
 
Kingine dawa zote za serikali zina chapa ya msd so sio rahisi kutumika kwenye maduka ya dawa kama unavyoengea wewe
Unaongea ukitokea nchi gani wewe Tanzania hii au nenda duka lolote karibu na hospital za mikoa hizi nunua hata dawa ya malaria uone. Lakini kinachoongelewa hapa ni MRDT hii siyo dawa utambue pia hivo.
 

Aiseeh unampima Mgonjwa Ili kumridhisha? Hata Kama kipimo hakifanyi kazi.
 
Naomba kuuliza wataalam kama dawa tunazotumia wanasema zina madhara kwa kiasi flani je iki isha mda wake si itakuwa na madhara makubwa zaidi?
 
Huyu dada ni Mtumishi wa Zahanati ya Ishishimulwa, Ipo Wilaya ya Uyui Mkoa Tabora.

Tayari Mamlaka ziko Kituoni muda huu kulifanyia kazi hili swala.

Nadhani itakuwa fundisho kwa wengine.

Unaweza kuta madudu Ni mengi Sana huko.
 
Kutaniana kwenye kutumia kits zilizo expire Tena kwa wajawazito?
Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo

Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana
Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo

Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana

Huyo ni undercover siyo boya. Ndio maana Waziri Ummy kamsifia na tayari mamlaka zimetumwa Wilaya Uyui kulishughulikia Hilo tatizo.
 
Huyo jamaa ana tabia za kike. Unarekodi nini sasa,kwani hawana incharge au menejiment ya kujadili jambo. Msenge huyo
 

Huyo dada kakosea kumlazimisha huyo mwenzaka akatumie kits zilizoexpire Tena kwa wamama wajawazito. Ndio maana jamaa anamwambia tizingatie professionalism.
 
Kama awezi ndio amrekodi mwenzake hyo ana tofauti na mchawi
 
Huyu mwanaume ni mchawi sana na ndio sababu ya kufanya kazi na wachawi Yani yeye ameshindwa mwelekeza mwenzako Hadi amrekodi Hilo ni swali la kueleweshana so mwenzake anapoteza kazi Kwa sababu yake dah

Mbona ndicho alichofanya huyo dada akaleta ujeuri? Tena na matusi juu. Huyo dada anamlazimsha jamaa atumie kit iliyo expire na jamaa hataki, ndio maana akamwambia siyo vizuri tuwe professional.
 
hakuna ushahidi kuwa hizo zimetumika kwa mgonjwa; wote ni wafanyakazi.
sheria itakamata wote, labda kama kabla ya kurusha mtandaoni, aliwaambia wakubwa wakanyamaza; na awe na ushahidi

Waziri Ummy kashatoa tamko la kumsifu huyo jamaa na inaonekana Kuna uozo mwingi kwenye kituo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…