Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Sikiliza video ..Mi nadhani mshamba ni wewe, huyo aliyerekodi hilo siyo tatizo lake make alikuwa na uwezo wa kuzitumia MRDT zilizoisha muda wa matumizi kama alivoelekezwa na huyo dada. Lakini yeye akaona haiwezi kufanya hivo na amkeusaidia wewe unapoenda kwenye vituo vya afya vya serikali kaambiwa huna malaria tafakari. Jiulize mara mbili mbili. Lakini kwa kasumba zenu za kishabiki mnaona snitch lakini atakuwa ameokoa maisha ya akina mama wajawazito wengi.
Yawezekana hizi zilizoexpire wanazipata kwenye maduka yao ya kuuza dawa na zile nzuri za serikali wanarudisha madukani kwao ili wapige pesa.
Wengi mnaoshabikia humu ndo wale mna vibima vyenu vya NHIF ambao hammudu kulipa elfu 60 au 30 kumwona Dakitari kwenye hosp za binafsi.
Nahitimisha mshamba ni wewe ambaye uanaamini ujanja ni kufumbia macho maovu, ili jambo litakuwa kubwa sana kama huyo dada anatembea na bosi wake ili amlinde kwa kuuzia wagonjwa vifaa feki, ili litafukunyuliwa mpaka ijuilikane mara ya mwisho lini aliagiza hizo MRDT na zilituma vipi, zilikuwa lot number gani, kutoka bohari gani.
Usalama wao iwe ni deal mpaka ya RMO na watu board huko na Ummy aamue kufumba macho.
Nani ametoa maagizo ya Mrdt kits kutumika utajua ni Medical incharge.
Nadhanj yeye ndo yuko kwenye shida kubwa kuliko hata Huyo Nurse.
Ndo maana anamuuliza huyo jamaa choko kamuulize incharge ina maaana tamko la kutumia lilitoka Je kwanjni incharge aruhusu mrdt kutumika ilhali anajua Zimexpire kingine huyu jamaa ni choko maana anaendeleza ligi za Kishamba alishindwa kumwambia incharge atumii