Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Mi nadhani mshamba ni wewe, huyo aliyerekodi hilo siyo tatizo lake make alikuwa na uwezo wa kuzitumia MRDT zilizoisha muda wa matumizi kama alivoelekezwa na huyo dada. Lakini yeye akaona haiwezi kufanya hivo na amkeusaidia wewe unapoenda kwenye vituo vya afya vya serikali kaambiwa huna malaria tafakari. Jiulize mara mbili mbili. Lakini kwa kasumba zenu za kishabiki mnaona snitch lakini atakuwa ameokoa maisha ya akina mama wajawazito wengi.
Yawezekana hizi zilizoexpire wanazipata kwenye maduka yao ya kuuza dawa na zile nzuri za serikali wanarudisha madukani kwao ili wapige pesa.
Wengi mnaoshabikia humu ndo wale mna vibima vyenu vya NHIF ambao hammudu kulipa elfu 60 au 30 kumwona Dakitari kwenye hosp za binafsi.

Nahitimisha mshamba ni wewe ambaye uanaamini ujanja ni kufumbia macho maovu, ili jambo litakuwa kubwa sana kama huyo dada anatembea na bosi wake ili amlinde kwa kuuzia wagonjwa vifaa feki, ili litafukunyuliwa mpaka ijuilikane mara ya mwisho lini aliagiza hizo MRDT na zilituma vipi, zilikuwa lot number gani, kutoka bohari gani.

Usalama wao iwe ni deal mpaka ya RMO na watu board huko na Ummy aamue kufumba macho.
Sikiliza video ..

Nani ametoa maagizo ya Mrdt kits kutumika utajua ni Medical incharge.

Nadhanj yeye ndo yuko kwenye shida kubwa kuliko hata Huyo Nurse.

Ndo maana anamuuliza huyo jamaa choko kamuulize incharge ina maaana tamko la kutumia lilitoka Je kwanjni incharge aruhusu mrdt kutumika ilhali anajua Zimexpire kingine huyu jamaa ni choko maana anaendeleza ligi za Kishamba alishindwa kumwambia incharge atumii
 
Kingine dawa zote za serikali zina chapa ya msd so sio rahisi kutumika kwenye maduka ya dawa kama unavyoengea wewe
 
Ila wafanyakazi wa idara za afya na elimu sijui kwanini wanapenda kuishi kwa fitina na majungu sana?! kama hujawahi kuona au hujui nini maana ya fitina na majungu ingia kwenye idara hizi ndio utaelewa.
Wengi huwa ni wale wasongo shuleni na wakiingia kwenye hizi profession wanakuwa desperate na kubaki kuwa vituo vya majungu na umbea
 
Sikiliza video ..

Nani ametoa maagizo ya Mrdt kits kutumika utajua ni Medical incharge.

Nadhanj yeye ndo yuko kwenye shida kubwa kuliko hata Huyo Nurse.

Ndo maana anamuuliza huyo jamaa choko kamuulize incharge ina maaana tamko la kutumia lilitoka Je kwanjni incharge aruhusu mrdt kutumika ilhali anajua Zimexpire kingine huyu jamaa ni choko maana anaendeleza ligi za Kishamba alishindwa kumwambia incharge atumii
La msingi kwetu ni taarifa imetufikia kama walaji, hayo ya kwao hayatuhusu, unadhani aliyerekodi ni mwenda wazimu hajui anachokifanya, hajui hizo Ethics. Yeye amemweleza ambaye anahusika na utoaji wa hivo vifaa, anaendaje kwa Incharge ili hali yeye kapewa kutoka phamacy. Tanzania tunatatizo la kutotaka kukubali ukweli na wengi tunataka kufanya kazi kwa kujipendekeza. Huyo aliyerekodi video namsifu haijarishi atapitia machungu gani lakini atakuwa ameokoa kina mama wajawazito na watoto wao kwa maelfu, ambayo pengine wangekuwa diagnosed with wrong results. Asante waziri Ummy Kwa kumsifu mtoa taarifa na kuahidi kufuatilia. Na unajuaje kama ni mtu wa system alikuwa hapo kwa kazi maalumu, wewe endelea kubwabwaja hapa na kumuita choko.
 
Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.
Sitetei lugha yake Ila mpaka ana mrekodi Kuna mambo nyuma ya pazia,
Km ushahidi kulikua na zaidi ya mtu mmoja. Angekwenda kwa inchaji.
Lengo la kaka ni kumharibia huyo dada.
Km Mimi ndo nasimamia nidhami wote nawapa adhabu sawa yaani onyo Kali au pamoja na kuwahamisha wote wawili .
Inawezekana pia alimpandisha jazba ili amrekodi.
Pia Kuna utaratibu wa kutoa taarifa au malalamiko kwa. Maandishi na kwa mdomo.
Pia Kuna bodi za kitaalamu

Analindwa na sheria ya whistleblowers. Hapo kaonesha uozo uliopo kwenye taasisi za afya kwa kuonesha matumizi ya vipimo vilivyoexpire.
 
Kingine dawa zote za serikali zina chapa ya msd so sio rahisi kutumika kwenye maduka ya dawa kama unavyoengea wewe
Unaongea ukitokea nchi gani wewe Tanzania hii au nenda duka lolote karibu na hospital za mikoa hizi nunua hata dawa ya malaria uone. Lakini kinachoongelewa hapa ni MRDT hii siyo dawa utambue pia hivo.
 
Sasa kwenye medicine sio muda wote mazingira yatakupa ivo unavyotaka dilemma ni nyingi na moja ya priority ni kusimamia benefit za mteja uwez niambia kisa Sina Diagnostic test basi nisidiagnose mgonjwa so ntachofanya ntamdiagnose mgonjwa clinically na ntampima kumridhisha kwama amepimwa (hawa wateja satisfaction kwao ni muhimu ndo mana kuna muda mnakuja hamuumwi ila mnataka dawa tunawaandikia supplements mnaridhika mnaenda na hamrud hosp kwamba mnaumwa)

Aiseeh unampima Mgonjwa Ili kumridhisha? Hata Kama kipimo hakifanyi kazi.
 
Naomba kuuliza wataalam kama dawa tunazotumia wanasema zina madhara kwa kiasi flani je iki isha mda wake si itakuwa na madhara makubwa zaidi?
 
Huyu dada ni Mtumishi wa Zahanati ya Ishishimulwa, Ipo Wilaya ya Uyui Mkoa Tabora.

Tayari Mamlaka ziko Kituoni muda huu kulifanyia kazi hili swala.

Nadhani itakuwa fundisho kwa wengine.

Unaweza kuta madudu Ni mengi Sana huko.
 
Kutaniana kwenye kutumia kits zilizo expire Tena kwa wajawazito?
Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo

Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana

Huyo ni undercover siyo boya. Ndio maana Waziri Ummy kamsifia na tayari mamlaka zimetumwa Wilaya Uyui kulishughulikia Hilo tatizo.
 
Huyo jamaa ana tabia za kike. Unarekodi nini sasa,kwani hawana incharge au menejiment ya kujadili jambo. Msenge huyo
 
Huyo muuguzi hana kosa maana lliyetoa idhini ya mrdt kits kutumika ni Incharge lazima maswali yaanzie hapo.

Mwisho wa siku sijajua hapo ni nursing station au lab ili nijue nani alimfuata mwenzake ofisini na kuanza kumwambia yeye Hatumii mrdt zilizoexpire swali lakujiuliza...

Mpaka incharge wa kituo anatoa hili tamko huyu jamaa wa tughe alikuwa wapu hadi kuja kupoteza muda kuanza kuzuzana na Muuguzi.

Na Pia kingine kazjni kuna kitu Kinaitwa Inter na intra personal conflict naona ndo kitu kilichopo hapo na ndo maana huyo dada kaamua kumtolea shit huyu jamaa...

So ukiacha unafiki na kuangalia pande zote mbili lazjma ujue kuna minzani ya kuangalia kabla ya kuanza kumsagia huyo dada muuguzi.

Huyo dada kakosea kumlazimisha huyo mwenzaka akatumie kits zilizoexpire Tena kwa wamama wajawazito. Ndio maana jamaa anamwambia tizingatie professionalism.
 
Mi nadhani mshamba ni wewe, huyo aliyerekodi hilo siyo tatizo lake make alikuwa na uwezo wa kuzitumia MRDT zilizoisha muda wa matumizi kama alivoelekezwa na huyo dada. Lakini yeye akaona haiwezi kufanya hivo na amkeusaidia wewe unapoenda kwenye vituo vya afya vya serikali kaambiwa huna malaria tafakari. Jiulize mara mbili mbili. Lakini kwa kasumba zenu za kishabiki mnaona snitch lakini atakuwa ameokoa maisha ya akina mama wajawazito wengi.
Yawezekana hizi zilizoexpire wanazipata kwenye maduka yao ya kuuza dawa na zile nzuri za serikali wanarudisha madukani kwao ili wapige pesa.
Wengi mnaoshabikia humu ndo wale mna vibima vyenu vya NHIF ambao hammudu kulipa elfu 60 au 30 kumwona Dakitari kwenye hosp za binafsi.

Nahitimisha mshamba ni wewe ambaye uanaamini ujanja ni kufumbia macho maovu, ili jambo litakuwa kubwa sana kama huyo dada anatembea na bosi wake ili amlinde kwa kuuzia wagonjwa vifaa feki, ili litafukunyuliwa mpaka ijuilikane mara ya mwisho lini aliagiza hizo MRDT na zilituma vipi, zilikuwa lot number gani, kutoka bohari gani.

Usalama wao iwe ni deal mpaka ya RMO na watu board huko na Ummy aamue kufumba macho.
Kama awezi ndio amrekodi mwenzake hyo ana tofauti na mchawi
 
Huyu mwanaume ni mchawi sana na ndio sababu ya kufanya kazi na wachawi Yani yeye ameshindwa mwelekeza mwenzako Hadi amrekodi Hilo ni swali la kueleweshana so mwenzake anapoteza kazi Kwa sababu yake dah

Mbona ndicho alichofanya huyo dada akaleta ujeuri? Tena na matusi juu. Huyo dada anamlazimsha jamaa atumie kit iliyo expire na jamaa hataki, ndio maana akamwambia siyo vizuri tuwe professional.
 
hakuna ushahidi kuwa hizo zimetumika kwa mgonjwa; wote ni wafanyakazi.
sheria itakamata wote, labda kama kabla ya kurusha mtandaoni, aliwaambia wakubwa wakanyamaza; na awe na ushahidi

Waziri Ummy kashatoa tamko la kumsifu huyo jamaa na inaonekana Kuna uozo mwingi kwenye kituo.
 
Back
Top Bottom