Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kifo ni kifo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbuka huyo ni soja... hachagui pa kufiaKifo cha aibu😔💔
Atapokea pole za kut×mbewa sio Msiba.Aibu kubwa kwa mume wa marehemu sijui sura yake atawatazama vipi watakaokuja kumpa pole msibani?!!
Halafu ukute alikuwa anajisifu anampelekea moto mke wake huku JF 😜
Kupenda starehe wakati pesa huna matokeo yake ndio haya.Chumba kilikuwa kinatumika kama store na hakina madirisha! Mwanaume ni mwanajeshi mstaafu! Tusitafutane uchawi! Mjeda kampelekea moto katika mazingira ambapo hakuna oxygen ya kutosha lazima nyote mkate moto! Mazingira yalikuwa sio rafiki kwa mjeda kupeleka moto! Aaaaah! Ona sasa!
Sitaki kusimulia yule binti wa kilokole Mungu ampe anachostahili sio kwa mambo yale jina lake linaendana na huyo marehemu aliefia kwa mjeshi jina ni hilo hilo ila mambo yake aliyokua anayafanya huwezi kumdhania mlokole kinoma ila behind the scenes alikua na mission hatari sana nilipozifuma voice note na picha na video kadhaa nilijifunza kitu kikubwa sana kuhusu Wanawake hususani wenye karba na hulka ya ulokole fulani fulani waimba kwaya kwa sanaUmeanza kutuchafua wanyaki 😹
Haya alikufanya nini?
Anaweza kutamani mke wake afufuke kisha afe kwa mara nyingine.. 🤣Atapokea pole za kut×mbewa sio Msiba.
Huruma Sana kulia misiba miwili toka kwa mfu mmoja.
Ni huyo huyo wako sio wote, pole ndo ukubwa huo 🤭Sitaki kusimulia yule binti wa kilokole Mungu ampe anachostahili sio kwa mambo yale jina lake linaendana na huyo marehemu aliefia kwa mjeshi jina ni hilo hilo ila mambo yake aliyokua anayafanya huwezi kumdhania mlokole kinoma ila behind the scenes alikua na mission hatari sana nilipozifuma voice note na picha na video kadhaa nilijifunza kitu kikubwa sana kuhusu Wanawake hususani wenye karba na hulka ya ulokole fulani fulani waimba kwaya kwa sana
Funzo nililolipata nimefanya generalization yaan inclusion ni wote sababu zangu za msingi sana kusema hivyo maana ukipigwa na kitu kizito unaeyajua maumivu ni wewe sio mtu mwingine yeyoteNi huyo huyo wako sio wote, pole ndo ukubwa huo 🤭
Kafia uwanja wa vitaKufia kiunoni? Wakiwa utupu? Aaah aibu bwana!
Nope, msikilize RPC walikuwa kwenye chumba kisicho na madirisha, huenda ni kukosa hewa kumewauwa.Kuna mawili. Kuuliwa wote wawili na mtu kutoka nje au mmoja kumuua mwingine na kujimaliza.
Bora hii kuliko kifo cha kipondupinduKifo cha aibu😔💔
CC Pastor Daniel Mgogo kama yuko humunilijifunza kitu kikubwa sana kuhusu Wanawake hususani wenye karba na hulka ya ulokole fulani fulani waimba kwaya kwa sana
Mume alikuwa anajua mke anachepuka mda mrefu tu. Na walishakaa vikao juu ya hilo, mwanamke hasikii la mwadhini wala mnadi sala, akaamua kumwachia uhuru wa kuchepuka wakiwa nyumba moja, matokeo yake mke kafa kifo cha namna hii, aibu kwa nani sasaAibu kubwa kwa mume wa marehemu sijui sura yake atawatazama vipi watakaokuja kumpa pole msibani?!!
Halafu ukute alikuwa anajisifu anampelekea moto mke wake huku JF 😜
Kwa familiaMbona fresh tu.
Aibu kwa nani?
Wameupiga mwingi.Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669
Kwa hapo kapuyangakumbuka huyo ni soja... hachagui pa kufia
Aibu kwa wote, kwanini mume kashindwa kusimamia majukumu yake??Mume alikuwa anajua mke anachepuka mda mrefu tu. Na walishakaa vikao juu ya hilo, mwanamke hasikii la mwadhini wala mnadi sala, akaamua kumwachia uhuru wa kuchepuka wakiwa nyumba moja, matokeo yake mke kafa kifo cha namna hii, aibu kwa nani sasa