Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Aibu kubwa kwa mume wa marehemu sijui sura yake atawatazama vipi watakaokuja kumpa pole msibani?!!
Halafu ukute alikuwa anajisifu anampelekea moto mke wake huku JF 😜
Atapokea pole za kut×mbewa sio Msiba.
Huruma Sana kulia misiba miwili toka kwa mfu mmoja.
 
Chumba kilikuwa kinatumika kama store na hakina madirisha! Mwanaume ni mwanajeshi mstaafu! Tusitafutane uchawi! Mjeda kampelekea moto katika mazingira ambapo hakuna oxygen ya kutosha lazima nyote mkate moto! Mazingira yalikuwa sio rafiki kwa mjeda kupeleka moto! Aaaaah! Ona sasa!
Kupenda starehe wakati pesa huna matokeo yake ndio haya.

Wanayanduana kwenye tanuru?

Mwanajeshi hana hata nyumba ya kueleweka?
 
Umeanza kutuchafua wanyaki 😹
Haya alikufanya nini?
Sitaki kusimulia yule binti wa kilokole Mungu ampe anachostahili sio kwa mambo yale jina lake linaendana na huyo marehemu aliefia kwa mjeshi jina ni hilo hilo ila mambo yake aliyokua anayafanya huwezi kumdhania mlokole kinoma ila behind the scenes alikua na mission hatari sana nilipozifuma voice note na picha na video kadhaa nilijifunza kitu kikubwa sana kuhusu Wanawake hususani wenye karba na hulka ya ulokole fulani fulani waimba kwaya kwa sana
 
Ni huyo huyo wako sio wote, pole ndo ukubwa huo 🤭
 
Ni huyo huyo wako sio wote, pole ndo ukubwa huo 🤭
Funzo nililolipata nimefanya generalization yaan inclusion ni wote sababu zangu za msingi sana kusema hivyo maana ukipigwa na kitu kizito unaeyajua maumivu ni wewe sio mtu mwingine yeyote
 
Aibu kubwa kwa mume wa marehemu sijui sura yake atawatazama vipi watakaokuja kumpa pole msibani?!!
Halafu ukute alikuwa anajisifu anampelekea moto mke wake huku JF 😜
Mume alikuwa anajua mke anachepuka mda mrefu tu. Na walishakaa vikao juu ya hilo, mwanamke hasikii la mwadhini wala mnadi sala, akaamua kumwachia uhuru wa kuchepuka wakiwa nyumba moja, matokeo yake mke kafa kifo cha namna hii, aibu kwa nani sasa
 
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669
Wameupiga mwingi.
 
Mume alikuwa anajua mke anachepuka mda mrefu tu. Na walishakaa vikao juu ya hilo, mwanamke hasikii la mwadhini wala mnadi sala, akaamua kumwachia uhuru wa kuchepuka wakiwa nyumba moja, matokeo yake mke kafa kifo cha namna hii, aibu kwa nani sasa
Aibu kwa wote, kwanini mume kashindwa kusimamia majukumu yake??
Km mke jeuri si angemwacha akafie mbele huko..!!
 
Back
Top Bottom