Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

View attachment 2060887
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.

Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.

Mganga huyo Hassan Jumanne anasema alipanda juu ya mti wa muembe yalipo makazi ya nyoka huyo akiwa na chungu chenye uji wa moto ambao nyoka huyo alitoka na kuingiza kichwa kwenye uji kabla ya kumshambulia kwa kumgonga mara nne.

Mganga alizimia na kuanguka na alipopata fahamu alikimbia akiacha vifaa vyake vya uganga katika eneo hilo.

Uongozi wa kata hiyo umeanza jitihada za kuwasiliana na maliasili ili kumuondoa nyoka huyo.

Chanzo cha habari: CG FM Radio
Nyoka kuingia kichwa kwenye uji ilitosha kuruka na kuondoka. Koboko kumgonga mtu mara 4 na kusalimika ni ngumu. Maswali: ni kweli uji ulikuwa wa moto? Mchanga alidondoka bila kuangukia uji?
 
Kawaida nyoka wa kawaida hagongi zaidi ya Mara moja kwasababu akigongo meno hubakia je huyu kapata wapi uwezo wa kugonga mara nne?
Ni Kati ya nyoka ambao hugonga na kutema sumu bila kuacha meno, japo hili tukio kama la kuchora vile.
 
Ulizia vzr hbr zake
Huwa anagonga tu zaidi ya mara 1
Hugonga zaidi ya mara 20 ndio huishiwa sumu, the black mamba. Nyoka ambaye ni mweusi kinywani. Akimgonga mbuzi akafa, mbuzi akaliwa na mbwa, fisi akamla mbwa nae hufa. Koboko ana sumu kali sana.
 
View attachment 2060887
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.

Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.

Mganga huyo Hassan Jumanne anasema alipanda juu ya mti wa muembe yalipo makazi ya nyoka huyo akiwa na chungu chenye uji wa moto ambao nyoka huyo alitoka na kuingiza kichwa kwenye uji kabla ya kumshambulia kwa kumgonga mara nne.

Mganga alizimia na kuanguka na alipopata fahamu alikimbia akiacha vifaa vyake vya uganga katika eneo hilo.

Uongozi wa kata hiyo umeanza jitihada za kuwasiliana na maliasili ili kumuondoa nyoka huyo.

Chanzo cha habari: CG FM Radio
Nimeshangaa leo kusikia hii story kwenye amplifier ya Clouds na Millard Ayo Nasikia Mganga anasema Nyoka ana kichwa cha jogoo na mkiani ana kucha ndefu halafu cha ajabu anasema nyoka anawika duuuh Tabora nimewanyooshea halafu MPAka now Hajamdhuru mtu yyte dah kweli Maajabu
 
Mkuu huyu uliyemchambua hapa kamwe humkuti akiishi jirani na makazi ya watu hata iweje

Huyu makazi yake ni milimani huko ukikutana nae njiani basi ujue anahama makazi na mpaka ukutane nae basi ujue hiyo njia inapita kwenye msitu mnene

Sifa yake kuu huyu ubabe ubabe yaani ukikutananae hakimbii na yeye atasimama anakuangalia unataka kufanya nini

Ishu ya kuwika kama anawinda lazima awike, au atalia kama panya

Ukipita msituni au mlimani ambako ndo maeneo anayopendelea kuishi atapiga mruzi ili ujue kuna binadamu mwenzio kumbe ndo anakuita ukijichanganya inakula kwako ukikimbia anaachana na wewe

Huyu ndo nyoka ninayemuogopa mimi

Huyo koboko huwa namalizana nae kwa sime tu maana huyo hajui kujificha huyo akiona unaelekea alipo na yeye anakufata mkutane kati kati sasa nyoka gani huyo hajui kuvizia, anakupa nafasi ya kujiandaa
 
Huyo unaemuongelea anaitwaje sasa mbona hujamtaja?
 
View attachment 2060887
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.

Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.

Mganga huyo Hassan Jumanne anasema alipanda juu ya mti wa muembe yalipo makazi ya nyoka huyo akiwa na chungu chenye uji wa moto ambao nyoka huyo alitoka na kuingiza kichwa kwenye uji kabla ya kumshambulia kwa kumgonga mara nne.

Mganga alizimia na kuanguka na alipopata fahamu alikimbia akiacha vifaa vyake vya uganga katika eneo hilo.

Uongozi wa kata hiyo umeanza jitihada za kuwasiliana na maliasili ili kumuondoa nyoka huyo.

Chanzo cha habari: CG FM Radio
Hahahahahaha kwa hiyo nyoka alikunywa kwanza uji kisha akamalizana na mganga
 
Tembo ukimpelekea drones speed yake utoiweza ukimbia hatari.
Drones ufukuza nyani,tumbili, na wanyama wote waharibifu ikiwemo ndege waharibifu pia.
Hii ni fursa kwa vijana msio na ajira drones zimejaa tele China bei rahisi kuanzia laki 3 hadi Dar msimu wa kilimo unarudisha pesa yako na faida tele unakodiwa na wakulima kuwalindia mazao yao.
Unaiprogram sauti yeyeto uitakayo zipo sauti na vitisho vya kila namna kulingana na ndege au mnyama uwatakao kuwafukuza.
hii drone ikoje unaifungaje
 
Mkuu huyu uliyemchambua hapa kamwe humkuti akiishi jirani na makazi ya watu hata iweje

Huyu makazi yake ni milimani huko ukikutana nae njiani basi ujue anahama makazi na mpaka ukutane nae basi ujue hiyo njia inapita kwenye msitu mnene

Sifa yake kuu huyu ubabe ubabe yaani ukikutananae hakimbii na yeye atasimama anakuangalia unataka kufanya nini

Ishu ya kuwika kama anawinda lazima awike, au atalia kama panya

Ukipita msituni au mlimani ambako ndo maeneo anayopendelea kuishi atapiga mruzi ili ujue kuna binadamu mwenzio kumbe ndo anakuita ukijichanganya inakula kwako ukikimbia anaachana na wewe

Huyu ndo nyoka ninayemuogopa mimi

Huyo koboko huwa namalizana nae kwa sime tu maana huyo hajui kujificha huyo akiona unaelekea alipo na yeye anakufata mkutane kati kati sasa nyoka gani huyo hajui kuvizia, anakupa nafasi ya kujiandaa
Sijamchambua mm kijana sawa hio ni reference kutoka kwenye story za amplifier na Millard ayo story namba 3 29/12/2021 sasa sijajua unabishana na nani. Na huyo unaemsema www mbona hujamtaja
 
Tena kamuuma mara nne! Halafu jamaa bado yu hai? Hakika huyo si koboko ninayemjua.
Koboko ni hatari sana. Lakini kuna watu wanadawa za nyoka hawawezi kudhurika, labda kidogo sana. Ndo maana mganga kazimia tu. Si hivyo tu kuna watu wana koo na nyoka. Nyoka haziwezi wadhuru. Hata nyoka awe mkali vipi, lkn utulia.
Kuna babu mmoja alizoea kushika nyoka wa kila aina. Hivyo kukitokea nyoka kijijini uitwa na kwenda kumtoa sehemu aloingia. Siku moja akaitwa. Anasema akamtazama yule nyoka. Alikuwa wa ajabu. Nafsi yake ikamwambia asimguse. Aligundua kuwa hakuwa nyoka wa kawaida bali alitumwa kumwangamiza.
Yaani baadhi ya wataalamu, walimchukia jamaa, kwa umaarufu aliopata kushika nyoka. Hivyo wakataka wamuangamize. Anasema toka siku hiyo aliacha kushika nyoka.
Africa inautajiri wa mila, desturi na tamaduni. Ila mkoloni katuharibu, tunaona haiwezekani. Vijana wa siku hizi wamekalia ubishi tu. Na si kujifunza.
 
Koboko ndio black mamba?
Black mamba au Koboko[emoji216]

- Kwanza kabisa nyoka wenye sumu hutoa sumu kwa ajili ya KUWINDA na KUJIHAMI. Nyoka hatoi sumu tu hivihivi bila sababu.

- Black mamba ; Huyu ni moja ya nyoka tishio Duniani kwa lugha ya mtaani au Kiswahili huitwa KOBOKO.

- Kwa nyoka wanaopatikana Afrika yeye ndiye KING [emoji146], anashika bendera kwa kuwa nyoka hatari zaidi kuliko wote. Kwa Dunia anashika nafasi ya tano.

- Nyoka hatari zaidi Duniani anayeshika nafasi ya kwanza anapatikana kwenye misitu ya AMAZON [emoji1054] ntakuja na makala yake siku nyingine.

- Turudi kwa Black mamba (KOBOKO). Nyoka huyu ana sumu aina ya NEUROTOXIC na CARDIOTOXIC.

NEUROTOXIC ;
- Sumu hii hushambulia mfumo mzima wa fahamu wa binadamu na wanyama na huweza kuharibu kabisa mfumo wa upumuaji.

CARDIOTOXIC ;
- Ni muunganiko wa sumu mbili, baina ya HAEMOTOXIC na CYTOTOXIC,, hizi sumu zikiungana huenda moja kwa moja kwenye mapigo ya moyo wa binadamu na kuharibu kabisa mfumo wa usafirishaji wa damu kwenye moyo.

- Sumu zake zinaua haraka sana.

- Nyoka huyu hatari kabisa anapatikana zaidi Afrika kwenye misitu mikubwa, huwa hapendi kabisa kelele.
 
Mganga hadi leo hajafa, na jumamosi tarehe 1.1.2022 anaoa kigori wa Kinyamwezi kutoka Mboka Manyema
 
ivi koboko analiwa ka kitoweooo?
natambua ngozi yake ni nzuri kwa kutengenezea viatu vya kina dada
 
Black mamba au Koboko[emoji216]

- Kwanza kabisa nyoka wenye sumu hutoa sumu kwa ajili ya KUWINDA na KUJIHAMI. Nyoka hatoi sumu tu hivihivi bila sababu.

- Black mamba ; Huyu ni moja ya nyoka tishio Duniani kwa lugha ya mtaani au Kiswahili huitwa KOBOKO.

- Kwa nyoka wanaopatikana Afrika yeye ndiye KING [emoji146], anashika bendera kwa kuwa nyoka hatari zaidi kuliko wote. Kwa Dunia anashika nafasi ya tano.

- Nyoka hatari zaidi Duniani anayeshika nafasi ya kwanza anapatikana kwenye misitu ya AMAZON [emoji1054] ntakuja na makala yake siku nyingine.

- Turudi kwa Black mamba (KOBOKO). Nyoka huyu ana sumu aina ya NEUROTOXIC na CARDIOTOXIC.

NEUROTOXIC ;
- Sumu hii hushambulia mfumo mzima wa fahamu wa binadamu na wanyama na huweza kuharibu kabisa mfumo wa upumuaji.

CARDIOTOXIC ;
- Ni muunganiko wa sumu mbili, baina ya HAEMOTOXIC na CYTOTOXIC,, hizi sumu zikiungana huenda moja kwa moja kwenye mapigo ya moyo wa binadamu na kuharibu kabisa mfumo wa usafirishaji wa damu kwenye moyo.

- Sumu zake zinaua haraka sana.

- Nyoka huyu hatari kabisa anapatikana zaidi Afrika kwenye misitu mikubwa, huwa hapendi kabisa kelele.
Mkuu tafadhali sana tunaomba darasa la kuwafahamu nyoka unaonekana ni mtaalam wa mambo ya nyoka.
 
Back
Top Bottom