Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF, na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi, na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025, ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia, bali tunachouliza ni hiki. JE. KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?
 
Bwashee siasa siyo uadui. Tatizo chadema wote ni zero brains hawaajirizi kwa hiyo lazima waendeleze vurugu ili waendelee kutambulika Kama wapo
 
Le profesorer🚶
 
Kama mzee maarufu kutokea Tabora
 
Mtumikwa wa chamadola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…