Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe .

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM , yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora , akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM , sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba , ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF , na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi , na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025 , ambaye hata Chama chake hakijampitisha ,

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia , Bali tunachouliza ni hiki , JE KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI ?
haki yake kikatiba,raisi amempa nafasi hiyo so hakuna shida.freedom of expression.
 
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe .

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM , yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora , akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM , sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba , ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF , na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi , na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025 , ambaye hata Chama chake hakijampitisha ,

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia , Bali tunachouliza ni hiki , JE KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI ?
Kama kuwadi mwenzenu wana saccos. Njaa mbaya, professor uchwara.
 
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM , yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora , akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM , sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba , ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF , na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi , na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025 , ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia , Bali tunachouliza ni hiki , JE KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?

kama mwanachama wa ccm z
 
Ishakuwa nongwa? Kwani kuna sheria imevunjwa?
 
Hilo ni swali? Yule anayeendaga ikulu? Lipumba kaenda mchana kweupeee
 
Chadema mnataka Mbowe tu ndio awe karibu na Mama Samia, tatizo lenu mnataka u special fulani kwenye siasa za nchi hii... mkumbuke vyama vyote ni sawa mbele ya katiba, japo mnawafuasi wengi.
 
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF, na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi, na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025, ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia, bali tunachouliza ni hiki. JE. KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?
Huyuni Traitor No.1 akifuatiwa na Zito No. 2
 
Chadema mnataka Mbowe tu ndio awe karibu na Mama Samia, tatizo lenu mnataka u special fulani kwenye siasa za nchi hii... mkumbuke vyama vyote ni sawa mbele ya katiba, japo mnawafuasi wengi.
Hivi mkijibu hilo swali mtapungukiwa nini ?
 
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF, na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi, na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025, ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia, bali tunachouliza ni hiki. JE. KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?
Anahutubia kama mwananchi na pia kama mwenyeji wa mkoa wa Tabora mkuu siasa sio uhasama hata mwenyekiti wenu wa SACCOS ruksa kuhutubia wananchi kwenye ziara za mama, jiulize kwanza mwenyekiti wenu wa SACCos alienda kukutana na mama usiku kama nani?
 
Asante kwa majibu yako duni
 
Hili ni swali ambalo Wajuzi wa Protokali mnatakiwa mtueleze ili sisi wengine tuelewe.

Rais Samia , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, yuko kwenye ziara ya kikazi huko Tabora, akizindua miradi mbalimbali na kutembelea Ofisi na Matawi ya CCM, sasa kwenye ziara hiyo ameambatana na Ndugu Haruna Lipumba, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha CUF, na cha kushangaza zaidi Lipumba anapewa nafasi ya kuhutubia Wananchi, na kufanya Kampeni za Urais wa Samia 2025, ambaye hata Chama chake hakijampitisha.

Ikumbukwe kwamba hatuna shida yoyote kwa Haruna Lipumba kuhutubia, bali tunachouliza ni hiki. JE. KWENYE ZIARA HIYO LIPUMBA ANAHUTUBIA KAMA NANI?
Kwani Rais Samia anakatazwa kumpa nafasi Mtanzania yeyote kutoa mawazo yake katika mkutano?

Achana na Lipumba, Mtanzania yeyote yule.

Je, Lipumba ni Mtanzania au si Mtanzania?
 
Mleta mada huwa anataka nafasi hizo apewe aliemtuma kuandika uharo huu, akipewa mwanasiasa mungine kinyume na boss wake inakuwa nongwa.

images (84).jpeg

images (82).jpeg
 
Back
Top Bottom